Skudu makudubela
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 561
- 1,112
Sawa Randy Orton
Uzuri wa JF inagusa kila mtu,kwa namna nzuri ama mbaya
Kuna mtu huu uzi unaenda kumgusa
INiliwai kukaa kwa ndugu kipindi flani nakumbuka siku narudi home kutoka kwenye harakat zangu nakuta msosi mezani nikauliza tu kama watoto washakula wakaniambia ndio mimi bila aibu nakabugia ile rost ya maini na ugali mzuri ile namaliza kula mama mwenye nyumba anakuja kuniambia ule msosi ulikua na wa mme wake nilishikwa na aibu sana alafu madogo wa ile nyumba walishaanza vijembe kwamba mimi nakula sana
Kukaa kwa ndugu kunataka moyo
Kama ninyi ndugu mna akili mgando/mmedumaa akili,muwe tayari kufunzwa na ulimwengu.Na sehemu ya huo ulimwengu ni hapa JF!Haya ni maamuzi binafsi, watajuana wenyewe.
Wewe jisemee mwenyewe, usiwapangie walimwengu.
Wakiamua kulala watano watano kila kitanda, kivyao.
Ndugu umetoa ushauri mzuri ila angalia waliopata za mbavu wanaanza kulalamika mara oh usioangie watu namna ya kuishi kiufupi wanaokosoa bado wanakautegemezi fulani hawezi mtu mwenye familia yake akakosoa ushauri uliotoa.Kuna umri unafika kwenda kwa ndugu iwe ni kwajili ya kumjulia hali unarudi kwako, umeenda mkoa wake kikazi kakuhost ukae kwake ukimaliza unarudi kwako, unaumwa kakupeleka kwake akuuguze ukipona tafta shughuli nenda kwako
Ndugu yako kashaanza maisha ya familia ni vema umpishe,
Haya ni mambo utahamishia huko na wanaweza wasikuambie ila jua uwepo wako ni mzigo.
Kuvuruga bajeti,
Kumchosha house girl
Watoto kubanana chumba kimoja ili ndugu walale vingine.
Privacy ndogo
Hivi kuna mdada asiyetaka kuolewa?Unakuta mtu Ana miaka zaidi ya 24 na bado anaishi kwa baba na mama,mdada Ana miaka 25+ na bado Yuko kwa wazazi hataki kuolewa😂
Mambo ya kawaida mbona hayo katika harakati za kujitafutaAisee Hapa nimecheka Kama mazuri [emoji23]
I
Ushauri mzuriKuna umri unafika kwenda kwa ndugu iwe ni kwajili ya kumjulia hali unarudi kwako, umeenda mkoa wake kikazi kakuhost ukae kwake ukimaliza unarudi kwako, unaumwa kakupeleka kwake akuuguze ukipona tafta shughuli nenda kwako
Ndugu yako kashaanza maisha ya familia ni vema umpishe,
Haya ni mambo utahamishia huko na wanaweza wasikuambie ila jua uwepo wako ni mzigo.
Kuvuruga bajeti,
Kumchosha house girl
Watoto kubanana chumba kimoja ili ndugu walale vingine.
Privacy ndogo
Inawezekana wewe ni mmoja waoHaya ni maamuzi binafsi, watajuana wenyewe.
Wewe jisemee mwenyewe, usiwapangie walimwengu.
Wakiamua kulala watano watano kila kitanda, kivyao.
For some reason nilijua tu utakuja na jibu hili.
Safi saana.For some reason nilijua tu utakuja na jibu hili.
Nawajua wabongo wengi hamuwezi kufanya fikra dhahania kwa kina katika hoja kwa mawazo tunduizi anuai.
Mkuu mimi nilivyoanza kazi tu, nilitoka nyumbani kwa baba yangu kwenye comforts zote za maisha ya ushuani Oysterbay, low density kwa viongizi na mabalozi, nikaenda kuanza maisha yangu Sinza Mori nikiwa mdogo sana. Kwa sababu ya kujaribu tu kuona kama nitaweza kusimama mwenyewe na kuishi kwa uhuru kama kijana aliyekua.
Na sasa niko Marekani najitegemea zaidi ya two decades. Unaelewa zaidi ya two decades ni nini? Maana yake nimeondoka Bongo utawala wa Mkapa. Tawala za Kikwete na Magufuli zote nimezisikia nipo Marekani. Hivi ninavyoandika nina nyumba Bronx New York na New Jersey, USA, nyingine napangisha watu. Ukifikia sehemu hizo huna pa kukaa unakaribishwa kwangu.
Kama umejipanga nauli na utapenda naweza kukutumia mwaliko uje uone tunavyoishi maisha ya dunia ya kwanza, uache mawazo ya kizushi na kichawi ya kumuwekea mtu usiyemjua kijiba cha roho.
Nakaribisha Watanzania wenye rekodi safi na tabia njema ambao watajikuta wako sehemu hizo Marekani halafu hawana sehemu za kufikia.
Usibahatishebahatishe na kukaririkariri unapokuja kuwekea shombo habari zangu.
Nikifunguka zaidi hamkawii kusema najigamba hapa.
Kumbe najibu shutuma zisizo na msingi tu.
Hujajibu hoja, umeleta viroja.
Hagayaaaaa!
Hama hapo Kwa shemejiHaya ni maamuzi binafsi, watajuana wenyewe.
Wewe jisemee mwenyewe, usiwapangie walimwengu.
Wakiamua kulala watano watano kila kitanda, kivyao.
Kwamba kamchoka.sasa si umwambie tu direct aondoke mkuu
Kweli kabisaHaya ni maamuzi binafsi, watajuana wenyewe.
Wewe jisemee mwenyewe, usiwapangie walimwengu.
Wakiamua kulala watano watano kila kitanda, kivyao.