Inawezekana wewe ni mmoja wao
Sent from my V1901A using
JamiiForums mobile app
For some reason nilijua tu utakuja na jibu hili.
Nawajua wabongo wengi hamuwezi kufanya fikra dhahania kwa kina katika hoja kwa mawazo tunduizi anuai.
Mkuu mimi nilivyoanza kazi tu, nilitoka nyumbani kwa baba yangu kwenye comforts zote za maisha ya ushuani Oysterbay, low density kwa viongozi na mabalozi, nikaenda kuanza maisha yangu Sinza Mori nikiwa mdogo sana. Kwa sababu ya kujaribu tu kuona kama nitaweza kusimama mwenyewe na kuishi kwa uhuru kama kijana aliyekua.
Na sasa niko Marekani najitegemea zaidi ya two decades. Unaelewa zaidi ya two decades ni nini? Maana yake nimeondoka Bongo utawala wa Mkapa. Tawala za Kikwete na Magufuli zote nimezisikia nipo Marekani. Hivi ninavyoandika nina nyumba Bronx New York na New Jersey, USA, nyingine napangisha watu. Ukifikia sehemu hizo huna pa kukaa unakaribishwa kwangu.
Kama umejipanga nauli na utapenda naweza kukutumia mwaliko uje uone tunavyoishi maisha ya dunia ya kwanza, uache mawazo ya kizushi na kichawi ya kumuwekea mtu usiyemjua kijiba cha roho.
Nakaribisha Watanzania wenye rekodi safi na tabia njema ambao watajikuta wako sehemu hizo Marekani halafu hawana sehemu za kufikia.
Usibahatishebahatishe na kukaririkariri unapokuja kuwekea shombo habari zangu.
Nikifunguka zaidi hamkawii kusema najigamba hapa.
Kumbe najibu shutuma zisizo na msingi tu.
Hujajibu hoja, umeleta viroja.
Hagayaaaaa!