Kuna umri ukifika kukaa kwa ndugu mwenye familia si uungwana hata kama ni kaka au dada, mpishe tafuta shughuli uende kwako!

Kuna umri ukifika kukaa kwa ndugu mwenye familia si uungwana hata kama ni kaka au dada, mpishe tafuta shughuli uende kwako!

Niliwai kukaa kwa ndugu kipindi flani nakumbuka siku narudi home kutoka kwenye harakat zangu nakuta msosi mezani nikauliza tu kama watoto washakula wakaniambia ndio mimi bila aibu nakabugia ile rost ya maini na ugali mzuri ile namaliza kula mama mwenye nyumba anakuja kuniambia ule msosi ulikua na wa mme wake nilishikwa na aibu sana alafu madogo wa ile nyumba walishaanza vijembe kwamba mimi nakula sana

Kukaa kwa ndugu kunataka moyo
 
Hata wanaoshi kwa wazazi wait bado huu Uzi utawagusa😂
Unakuta mtu Ana miaka zaidi ya 24 na bado anaishi kwa baba na mama,mdada Ana miaka 25+ na bado Yuko kwa wazazi hataki kuolewa😂
Sawa Randy Orton
Uzuri wa JF inagusa kila mtu,kwa namna nzuri ama mbaya

Kuna mtu huu uzi unaenda kumgusa
 
Aisee Hapa nimecheka Kama mazuri 😂
Niliwai kukaa kwa ndugu kipindi flani nakumbuka siku narudi home kutoka kwenye harakat zangu nakuta msosi mezani nikauliza tu kama watoto washakula wakaniambia ndio mimi bila aibu nakabugia ile rost ya maini na ugali mzuri ile namaliza kula mama mwenye nyumba anakuja kuniambia ule msosi ulikua na wa mme wake nilishikwa na aibu sana alafu madogo wa ile nyumba walishaanza vijembe kwamba mimi nakula sana

Kukaa kwa ndugu kunataka moyo
I
 
Haya ni maamuzi binafsi, watajuana wenyewe.

Wewe jisemee mwenyewe, usiwapangie walimwengu.

Wakiamua kulala watano watano kila kitanda, kivyao.
Kama ninyi ndugu mna akili mgando/mmedumaa akili,muwe tayari kufunzwa na ulimwengu.Na sehemu ya huo ulimwengu ni hapa JF!
 
Kuna umri unafika kwenda kwa ndugu iwe ni kwajili ya kumjulia hali unarudi kwako, umeenda mkoa wake kikazi kakuhost ukae kwake ukimaliza unarudi kwako, unaumwa kakupeleka kwake akuuguze ukipona tafta shughuli nenda kwako

Ndugu yako kashaanza maisha ya familia ni vema umpishe,

Haya ni mambo utahamishia huko na wanaweza wasikuambie ila jua uwepo wako ni mzigo.

Kuvuruga bajeti,

Kumchosha house girl

Watoto kubanana chumba kimoja ili ndugu walale vingine.

Privacy ndogo
Ndugu umetoa ushauri mzuri ila angalia waliopata za mbavu wanaanza kulalamika mara oh usioangie watu namna ya kuishi kiufupi wanaokosoa bado wanakautegemezi fulani hawezi mtu mwenye familia yake akakosoa ushauri uliotoa.

Sio siri swala la mtu kukaa kwa ndugu mm nalipinga sana japo zipo sababu kemkem ila kama inafaa kuepuka kukaa kwa ndugu ni vyema ukaepuka kwakua kuna pande mbili upande wako na wa huyo mwenza je huyo mwenza anakupokeaje hapo kwake ndugu yako anaweza asiseme ila kwa matendo ya mwenza wake akaona unamuwekea kiwingu. Sipingi mtu kusaidiwa ila ifike stage utambue kuna umuhimu wa kuawapa nafasi.
 
Unakuta mtu Ana miaka zaidi ya 24 na bado anaishi kwa baba na mama,mdada Ana miaka 25+ na bado Yuko kwa wazazi hataki kuolewa😂
Hivi kuna mdada asiyetaka kuolewa?

Mie naona suala la mdada kuolewa halipo mikononi mwake,sio mwanamke anayepata ataolewa lini...lakini mwanaume anaweza kuamua
 
Ukirudi tena kwangu! labda kumfuata dada yako, kukunyima pesa ya Balimi ndo umeyaleta huku Chacha.
 
Mtoa mada uko sahihi kabisa kukaa Kwa ndugu ni changamoto sana, kipindi tuna soma tulikaa Kwa ndugu kiakili sana inabidi ujitahidi kuwafurahisha hata kama wamekukosea wao au haukubaliani na maisha Yao wanayoishi! Kwa Sasa nimesishakuwa mtu mzima kiasi chake na nimekaa na ndugu zangu wa aina tofauti wengine wadogo zangu, mashemeji na ndugu wa ukoo wangu, nilichojifunza ni kwamba wenye shukrani ni wachache , kukaa na ndugu ni mtihani mzito, hata ungejitoa kiasi Gani wenye shukrani ni WA kuhesabu, ni Bora uwe kauzu tu wajue kabisa huyu jamaa ni kauzu !
 
Hivi kuna mdada asiyetaka kuolewa?

Mie naona suala la mdada kuolewa halipo mikononi mwake,sio mwanamke anayepata ataolewa lini...lakini mwanaume anaweza kuamua
Wadada wengi sana wenye miaka 19-23 hawatakagi kuolewa, hata kama hawasomi chuo Joanah
 
Kuna wengne kulala kitanda kimoja wawili ni kazi asikwambie mtu Sio uchoyo ila ni mazoea tu ko kusema niende kwa ndugu mwishowe nipewe kitoto nilale nacho doooh 😀
 
Kuna umri unafika kwenda kwa ndugu iwe ni kwajili ya kumjulia hali unarudi kwako, umeenda mkoa wake kikazi kakuhost ukae kwake ukimaliza unarudi kwako, unaumwa kakupeleka kwake akuuguze ukipona tafta shughuli nenda kwako

Ndugu yako kashaanza maisha ya familia ni vema umpishe,

Haya ni mambo utahamishia huko na wanaweza wasikuambie ila jua uwepo wako ni mzigo.

Kuvuruga bajeti,

Kumchosha house girl

Watoto kubanana chumba kimoja ili ndugu walale vingine.

Privacy ndogo
Ushauri mzuri

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana wewe ni mmoja wao

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
For some reason nilijua tu utakuja na jibu hili.

Nawajua wabongo wengi hamuwezi kufanya fikra dhahania kwa kina katika hoja kwa mawazo tunduizi anuai.

Mkuu mimi nilivyoanza kazi tu, nilitoka nyumbani kwa baba yangu kwenye comforts zote za maisha ya ushuani Oysterbay, low density kwa viongozi na mabalozi, nikaenda kuanza maisha yangu Sinza Mori nikiwa mdogo sana. Kwa sababu ya kujaribu tu kuona kama nitaweza kusimama mwenyewe na kuishi kwa uhuru kama kijana aliyekua.

Na sasa niko Marekani najitegemea zaidi ya two decades. Unaelewa zaidi ya two decades ni nini? Maana yake nimeondoka Bongo utawala wa Mkapa. Tawala za Kikwete na Magufuli zote nimezisikia nipo Marekani. Hivi ninavyoandika nina nyumba Bronx New York na New Jersey, USA, nyingine napangisha watu. Ukifikia sehemu hizo huna pa kukaa unakaribishwa kwangu.

Kama umejipanga nauli na utapenda naweza kukutumia mwaliko uje uone tunavyoishi maisha ya dunia ya kwanza, uache mawazo ya kizushi na kichawi ya kumuwekea mtu usiyemjua kijiba cha roho.

Nakaribisha Watanzania wenye rekodi safi na tabia njema ambao watajikuta wako sehemu hizo Marekani halafu hawana sehemu za kufikia.

Usibahatishebahatishe na kukaririkariri unapokuja kuwekea shombo habari zangu.

Nikifunguka zaidi hamkawii kusema najigamba hapa.

Kumbe najibu shutuma zisizo na msingi tu.

Hujajibu hoja, umeleta viroja.

Hagayaaaaa!
 
Mm naona ni kwel,,ukiangalia Kwa mjini asilimia kubwa tunategemea bajeti sana Kwa hyo Hali kiukwel unakuta haipendezi,, lakin kwa vijijiini hiyo Hali iendelee kufanika hata ukikosa pakulala utalala zizin Kwa mbuzi flesh tu maana chakula kipo Cha kutosha
 
For some reason nilijua tu utakuja na jibu hili.

Nawajua wabongo wengi hamuwezi kufanya fikra dhahania kwa kina katika hoja kwa mawazo tunduizi anuai.

Mkuu mimi nilivyoanza kazi tu, nilitoka nyumbani kwa baba yangu kwenye comforts zote za maisha ya ushuani Oysterbay, low density kwa viongizi na mabalozi, nikaenda kuanza maisha yangu Sinza Mori nikiwa mdogo sana. Kwa sababu ya kujaribu tu kuona kama nitaweza kusimama mwenyewe na kuishi kwa uhuru kama kijana aliyekua.

Na sasa niko Marekani najitegemea zaidi ya two decades. Unaelewa zaidi ya two decades ni nini? Maana yake nimeondoka Bongo utawala wa Mkapa. Tawala za Kikwete na Magufuli zote nimezisikia nipo Marekani. Hivi ninavyoandika nina nyumba Bronx New York na New Jersey, USA, nyingine napangisha watu. Ukifikia sehemu hizo huna pa kukaa unakaribishwa kwangu.

Kama umejipanga nauli na utapenda naweza kukutumia mwaliko uje uone tunavyoishi maisha ya dunia ya kwanza, uache mawazo ya kizushi na kichawi ya kumuwekea mtu usiyemjua kijiba cha roho.

Nakaribisha Watanzania wenye rekodi safi na tabia njema ambao watajikuta wako sehemu hizo Marekani halafu hawana sehemu za kufikia.

Usibahatishebahatishe na kukaririkariri unapokuja kuwekea shombo habari zangu.

Nikifunguka zaidi hamkawii kusema najigamba hapa.

Kumbe najibu shutuma zisizo na msingi tu.

Hujajibu hoja, umeleta viroja.

Hagayaaaaa!
Safi saana.

Nitafute nauli tuu SASA....
 
Back
Top Bottom