Kuna umuhimu body spray na perfume zisambazwe bure kama kondomu maana kwenye madaladala humu tutakufa

Uko sawa kabisa yaan watu wananuka ......hata kama ni umasikin lakin ndoo ya maji...na sabun ni shiling ngap ....na vi pafyum mpka buku vipo ama deodorant.....

Bora wadada sio sio wanaume inatisha
 
Usafi/unadhifu ni hulka ya mtu na wala si umaskini/utajiri.

Kuna Mheshimiwa mmoja ambae sasa ni Naibu Waziri, niliwahi kutana nae akiwa katibu wa wizara fulani, yule jamaa ana jasho kali mixer kunuka kinywa kiasi cha kuwa kero. So it all comes down to mtu husika na anavyochukulia swala la usafi wa mwili.

Kuna watu wana hulka ya uchafu tu.
 
Dah!
 
Hili somo la usafi wa mwili lifundishwe toka chekechea kwa njia ngumu ikiwemo viboko na kuwaanika wale watakaoonekana wanakiuka viwango vya usafi mbele ya wanafunzi wenzao. Ukijenga hiyo nidhamu kule chini huku juu huwezi kupata tatizo kubwa.
Mbona hilo linafanyika miaka yote
 
kwani wewe haujui maji hayapatikani?,na yakipattikana dumu moja jero na unakuta mhusika anafanya kazi soko la samaki feri,sasa anaona ata akiog haisadii ki2,kwani akifika feri baada ya nusu saa tu atanuka shombo,,,sasa anaona kuoga ni kupoteza muda!!!,.......alafu kuna wa2 wengine kama mimi,naona kuoga ni kamakupunguza unene wa ngozi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…