Kuna umuhimu gani vyeti vya ujuzi, elimu viwe na muhuri wa Mwanasheria

Vanclassic

Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
32
Reaction score
76
Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.

Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC. Wamemkata na sababu waliompa ni ACADEMIC CERTIFICATE not certified by advocate.. Hiyo imekaaje?
 
Ndugu zang Kam mnavoona heading.... Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kweny vyeti vya elimu..... Ikiwa ivo vyeti vinatoka serikalini je mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba ivo vyeti ni fake au og....hiyo imetokea kwa rafk yang ambae aliomba kazi shirika La reli TRC...... Wamemkata na sababu waliompa ni ACADEMIC CERTIFICATE not certified by advocate.... Hiyo imekaaje
Kile ni kiapo unakula kwamba vyeti husika ni original.

Ikitokea baadae ikathibitika umeghushi cheti utawajibika wewe maana ulikula kiapo mbele ya mwanasheria kwamba documents husika ulizo certify mbele ya wakili ni genuine.

Kazi ya mwanasheria ni kusimamia kiapo ila wewe ndiye unayethibitisha kwamba cheti fulani ni genuine.
 
Hii nchi mzee kuna watu wakiwa maofisini kwenye vile viti vya kuzunguka kila wanalofikiria huwa wanaona ni jambo njema tu!

Kati ya maamuzi ya kijinga yaliyopewa baraka na Siri-kali ni haya ya mhuri wa mwanasheria!
 
Yeye MWANASHERIA ndo nani??
ANAZIJUA shulba nilizopitia hadi kupata illo gamba?
NI USHAMBA TUH!?
 
Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.

Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC. Wamemkata na sababu waliompa ni ACADEMIC CERTIFICATE not certified by advocate.. Hiyo imekaaje?
Bila hivyo wanasheria watakufa njaa.
 
Utaona cheti cha kuzaliwa kimetoka RITA na kina maandishi haya' "certified to be a true copy of the original" na kuna muhuri na saini ya Msajili; ajabu tena wanataka muhuri na sahihi ya Wakili/Mahakama.
 
Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.

Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC. Wamemkata na sababu waliompa ni ACADEMIC CERTIFICATE not certified by advocate.. Hiyo imekaaje?
kupanga ni kuchagua,
ni utaratibu wa kutambuana tu gentleman 🐒
 
Muulize Manyanza kila siku ana lia humu kuna gaidi ana tumia vyeti vyake ana kula mshahara uku yeye ana lalamika humu JF😅
Yule Mbwa nitamnyoosha, nimelia humu humu na msaada nimepata humu humu lazima nimfungulie bonge la kesi.

Remedy for the damage case
 
Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.

Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC. Wamemkata na sababu waliompa ni ACADEMIC CERTIFICATE not certified by advocate.. Hiyo imekaaje?
Labda nakala kwa ajili ya kuthibitisha
 
Hii nchi mzee kuna watu wakiwa maofisini kwenye vile viti vya kuzunguka kila wanalofikiria huwa wanaona ni jambo njema tu!

Kati ya maamuzi ya kijinga yaliyopewa baraka na Siri-kali ni haya ya mhuri wa mwanasheria!
Bro unakosea sana. Hakuna mamlaka isiyokua na taratibu za kudhibiti na kusimamia sheria. Mana bila kubana ivi utajikuta chet kimoja kinamilikiwa na watu 10 na wote wana claim kua ni halali. Kuwepo kwa taratibu hio kuna faida kubwa sana ya kuepusha ulaghai na janja janja.
 
Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.

Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC. Wamemkata na sababu waliompa ni ACADEMIC CERTIFICATE not certified by advocate.. Hiyo imekaaje?
Mambo haya yaliletwa na jiwe yote hiyo ni kuhakikisha sisi vijana tunaishi kama mashetani acha kabisa..

Hadi sasa Wametoa jambo moja tu la yule bwana kwenye swala la ajira ni kuomba nafasi ktk vyombo vya ulinzi sio lazima upitie jkt sasa.
 
Umeandikwa uchungu sana, ila nikurekebishe alifanya hivo sio kwa nia mbaya ila alitaka watu wafate utaratibu ili wale wenye haki kweli wapate nafasi.Mana wengi alikua wanapata sio kwa sababu wana vigezo bali ni kwa sababu walikuana watu wa kuwashika mkono hata kama hawana vigezo
 
Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.

Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC. Wamemkata na sababu waliompa ni ACADEMIC CERTIFICATE not certified by advocate.. Hiyo imekaaje?
Hili nalo walitazame.

Aloleta Hilo wazi ni Moja ya Binadamu mpuuzi kushuhudiwa hapa Duniani.
 
Back
Top Bottom