Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Hamna hio ya RITA nakataa ikishathibitishwa RITA ikawa certified huna haja ya kuthibitisha tena kikubwa isomeke 'True Copy of Original' na kuwe na sahihi ya Msajiri wa huko RITA basi maana cheti halisi OG unabakia nacho kule unapeleka copy tu ambayo ni ya kweli OG unayoUtaona cheti cha kuzaliwa kimetoka RITA na kina maandishi haya' "certified to be a true copy of the original" na kuna muhuri na saini ya Msajili; ajabu tena wanataka muhuri na sahihi ya Wakili/Mahakama.