Kuna umuhimu gani vyeti vya ujuzi, elimu viwe na muhuri wa Mwanasheria

Kuna umuhimu gani vyeti vya ujuzi, elimu viwe na muhuri wa Mwanasheria

Hii nchi mzee kuna watu wakiwa maofisini kwenye vile viti vya kuzunguka kila wanalofikiria huwa wanaona ni jambo njema tu!

Kati ya maamuzi ya kijinga yaliyopewa baraka na Siri-kali ni haya ya mhuri wa mwanasheria!
I wish ungejua kuwa hili ni takwa la kisheria na siku ukipatikana kuwa ulipeleka vyeti vya uongo uchukuliwe hatua za kisheria.
 
Yaani ukiona kazi mwajiri yupo busy na kuangalia makaratasi (vyeti) ujue ni uhuni tu, utasema upo nje ya nchi wakati procedure za ku-verify hivyo vyeti ipo clear including kuwasiliana na taasisi husika
 
Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.

Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC. Wamemkata na sababu waliompa ni ACADEMIC CERTIFICATE not certified by advocate.. Hiyo imekaaje?
Ni kuongeza uwanda wa upigaji tu, hakuna sababu yoyote ya maana
 
Sheria inataka documents ziwe certified kwahiyo lazima upitie kiapo cha kuthibitisha uhalali wa nyaraka husika.

Ni sawa na wewe unapokula kiapo mahakamani mbele ya Mheshimiwa Hakimu ikitokea umedanganya basi wewe ndiye utakuwa responsible na sio Hakimu.
Kucertify cheti ni suala ambalo linatakiwa kufanywa na chuo ambacho kimekupa cheti. Wewe umesoma umemaliza chuo ndio kinawajibika kukupa cheti halali
 
Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.

Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC. Wamemkata na sababu waliompa ni ACADEMIC CERTIFICATE not certified by advocate.. Hiyo imekaaje?
Endeleeni kutovipiga mhuri😀😀muone kama mtapata Ajira za serikali kitu simple tu tena kupiga mhuri Tsh 5,000 Kwa vyeti vi 5 au BURE kabisa ila unataka ligi na gov
 
Kile ni kiapo unakula kwamba vyeti husika ni original.

Ikitokea baadae ikathibitika umeghushi cheti utawajibika wewe maana ulikula kiapo mbele ya mwanasheria kwamba documents husika ulizo certify mbele ya wakili ni genuine.

Kazi ya mwanasheria ni kusimamia kiapo ila wewe ndiye unayethibitisha kwamba cheti fulani ni genuine.
Kwanini wasivipige muhuri wa mwanasheria wa taasisi husika kabla hawajavitoa
 
Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.

Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC. Wamemkata na sababu waliompa ni ACADEMIC CERTIFICATE not certified by advocate.. Hiyo imekaaje?
Tatizo unakurupuka
 
Endeleeni kutovipiga mhuri😀😀muone kama mtapata Ajira za serikali kitu simple tu tena kupiga mhuri Tsh 5,000 Kwa vyeti vi 5 au BURE kabisa ila unataka ligi na gov
Hiyo Bei Wap huko, Kuna mwanasheria nilienda ananiambia cheti kimoja elfu 15000/= Kuangalia kwenye bahasha Nina vyeti kama sita hivi.
 
Dawa ya hii ni kuboresha mifumo yetu yenye taarifa sahihi. Mfano ukiingiza namba ya cheti, inatakiwa itoe taarifa zako kama ilivyo kwa NIDA.

Kama walivyochangia wengine, hii ni kuhakikisha unakiri na kuthibitisha kwamba hicho ni kivuli cha cheti halisi. Ukibainika tayari Kuna mahali ulikiri kisheria kwamba haujaghushi, unashugulikiwa Kwa mujibu wa Sheria za nchi.
 
Huo muhuri ungegongwa huko huko Baraza la mitihani ili kuondoa usumbufu.
 
Utaona cheti cha kuzaliwa kimetoka RITA na kina maandishi haya' "certified to be a true copy of the original" na kuna muhuri na saini ya Msajili; ajabu tena wanataka muhuri na sahihi ya Wakili/Mahakama.
Kiukweli serikali iliangalie hili suala halina tija ni kuwatengenezea watu upigaji
 
Wabongo kwa kulalamika 🙌

Mwanasheria anathibitisha copies za vyeti na sio cheti.
 
Kucertify cheti ni suala ambalo linatakiwa kufanywa na chuo ambacho kimekupa cheti. Wewe umesoma umemaliza chuo ndio kinawajibika kukupa cheti halali
Cha kushangaza unapewa cheti na serikali halafu hao hao tena wanataka uka Ki hakiki tena kwa wana sheria hivi ni sawa kweli
 
Hakuna umuhimu, ww endelea kuomba ajira hvy hvy mpaka watakapokubali ombi lako.
 
Wabongo kwa kulalamika 🙌

Mwanasheria anathibitisha copies za vyeti na sio cheti.
Kwanini wasifanye utaratibu viwe certified huko huko vinapotoka...maan wao ndo wanavitoa hata kama umegush cheti mwanasheria yeye atajuaje Kam feki yeye mrad umeenda na hela yako anagonga muhur basi unasepa
 
Umeelewa nilichoandika?
Mwanasheria anathibitisha copies za vyeti na sio cheti.
 
Back
Top Bottom