Vanclassic
Member
- Sep 9, 2024
- 32
- 76
Hakuna sabab ya msingNi upigaji tu
Kile ni kiapo unakula kwamba vyeti husika ni original.Ndugu zang Kam mnavoona heading.... Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kweny vyeti vya elimu..... Ikiwa ivo vyeti vinatoka serikalini je mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba ivo vyeti ni fake au og....hiyo imetokea kwa rafk yang ambae aliomba kazi shirika La reli TRC...... Wamemkata na sababu waliompa ni ACADEMIC CERTIFICATE not certified by advocate.... Hiyo imekaaje
Sheria inataka documents ziwe certified kwahiyo lazima upitie kiapo cha kuthibitisha uhalali wa nyaraka husika.Hakuna sabab ya msing
Yeye MWANASHERIA ndo nani??Kile ni kiapo unakula kwamba vyeti husika ni original.
Ikitokea baadae ikathibitika umeghushi cheti utawajibika wewe maana ulikula kiapo mbele ya mwanasheria kwamba documents husika ulizo certify mbele ya wakili ni genuine.
Kazi ya mwanasheria ni kusimamia kiapo ila wewe ndiye unayethibitisha kwamba cheti fulani ni genuine.
Bila hivyo wanasheria watakufa njaa.Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.
Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC. Wamemkata na sababu waliompa ni ACADEMIC CERTIFICATE not certified by advocate.. Hiyo imekaaje?
Utaona cheti cha kuzaliwa kimetoka RITA na kina maandishi haya' "certified to be a true copy of the original" na kuna muhuri na saini ya Msajili; ajabu tena wanataka muhuri na sahihi ya Wakili/Mahakama.Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.
Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC. Wamemkata na sababu waliompa ni ACADEMIC CERTIFICATE not certified by advocate.. Hiyo imekaaje?
kupanga ni kuchagua,Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.
Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC. Wamemkata na sababu waliompa ni ACADEMIC CERTIFICATE not certified by advocate.. Hiyo imekaaje?
Yule Mbwa nitamnyoosha, nimelia humu humu na msaada nimepata humu humu lazima nimfungulie bonge la kesi.Muulize Manyanza kila siku ana lia humu kuna gaidi ana tumia vyeti vyake ana kula mshahara uku yeye ana lalamika humu JF😅
😅😅awe fundisho kwa wengineYule Mbwa nitamnyoosha, nimelia humu humu na msaada nimepata humu humu lazima nimfungulie bonge la kesi.
Remedy for the damage case
Labda nakala kwa ajili ya kuthibitishaNdugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.
Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC. Wamemkata na sababu waliompa ni ACADEMIC CERTIFICATE not certified by advocate.. Hiyo imekaaje?
Bro unakosea sana. Hakuna mamlaka isiyokua na taratibu za kudhibiti na kusimamia sheria. Mana bila kubana ivi utajikuta chet kimoja kinamilikiwa na watu 10 na wote wana claim kua ni halali. Kuwepo kwa taratibu hio kuna faida kubwa sana ya kuepusha ulaghai na janja janja.Hii nchi mzee kuna watu wakiwa maofisini kwenye vile viti vya kuzunguka kila wanalofikiria huwa wanaona ni jambo njema tu!
Kati ya maamuzi ya kijinga yaliyopewa baraka na Siri-kali ni haya ya mhuri wa mwanasheria!
Mambo haya yaliletwa na jiwe yote hiyo ni kuhakikisha sisi vijana tunaishi kama mashetani acha kabisa..Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.
Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC. Wamemkata na sababu waliompa ni ACADEMIC CERTIFICATE not certified by advocate.. Hiyo imekaaje?
Umeandikwa uchungu sana, ila nikurekebishe alifanya hivo sio kwa nia mbaya ila alitaka watu wafate utaratibu ili wale wenye haki kweli wapate nafasi.Mana wengi alikua wanapata sio kwa sababu wana vigezo bali ni kwa sababu walikuana watu wa kuwashika mkono hata kama hawana vigezoMambo haya yaliletwa na jiwe yote hiyo ni kuhakikisha sisi vijana tunaishi kama mashetani acha kabisa..
Hadi sasa Wametoa jambo moja tu la yule bwana kwenye swala la ajira ni kuomba nafasi ktk vyombo vya ulinzi sio lazima upitie jkt sasa.
Hili nalo walitazame.Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.
Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC. Wamemkata na sababu waliompa ni ACADEMIC CERTIFICATE not certified by advocate.. Hiyo imekaaje?
We kuna kitu hakijakaa poa kichwani mwako😄Hili nalo walitazame.
Aloleta Hilo wazi ni Moja ya Binadamu mpuuzi kushuhudiwa hapa Duniani.