macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
I wish ungejua kuwa hili ni takwa la kisheria na siku ukipatikana kuwa ulipeleka vyeti vya uongo uchukuliwe hatua za kisheria.Hii nchi mzee kuna watu wakiwa maofisini kwenye vile viti vya kuzunguka kila wanalofikiria huwa wanaona ni jambo njema tu!
Kati ya maamuzi ya kijinga yaliyopewa baraka na Siri-kali ni haya ya mhuri wa mwanasheria!
Ni kuongeza uwanda wa upigaji tu, hakuna sababu yoyote ya maanaNdugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.
Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC. Wamemkata na sababu waliompa ni ACADEMIC CERTIFICATE not certified by advocate.. Hiyo imekaaje?
Nitamunyoosha sana yule mngeseeee 🤣🤣🤣😅😅awe fundisho kwa wengine
Kucertify cheti ni suala ambalo linatakiwa kufanywa na chuo ambacho kimekupa cheti. Wewe umesoma umemaliza chuo ndio kinawajibika kukupa cheti halaliSheria inataka documents ziwe certified kwahiyo lazima upitie kiapo cha kuthibitisha uhalali wa nyaraka husika.
Ni sawa na wewe unapokula kiapo mahakamani mbele ya Mheshimiwa Hakimu ikitokea umedanganya basi wewe ndiye utakuwa responsible na sio Hakimu.
Endeleeni kutovipiga mhuri😀😀muone kama mtapata Ajira za serikali kitu simple tu tena kupiga mhuri Tsh 5,000 Kwa vyeti vi 5 au BURE kabisa ila unataka ligi na govNdugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.
Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC. Wamemkata na sababu waliompa ni ACADEMIC CERTIFICATE not certified by advocate.. Hiyo imekaaje?
Ndo hapo sasaUtaona cheti cha kuzaliwa kimetoka RITA na kina maandishi haya' "certified to be a true copy of the original" na kuna muhuri na saini ya Msajili; ajabu tena wanataka muhuri na sahihi ya Wakili/Mahakama.
Kwanini wasivipige muhuri wa mwanasheria wa taasisi husika kabla hawajavitoaKile ni kiapo unakula kwamba vyeti husika ni original.
Ikitokea baadae ikathibitika umeghushi cheti utawajibika wewe maana ulikula kiapo mbele ya mwanasheria kwamba documents husika ulizo certify mbele ya wakili ni genuine.
Kazi ya mwanasheria ni kusimamia kiapo ila wewe ndiye unayethibitisha kwamba cheti fulani ni genuine.
Tatizo unakurupukaNdugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.
Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC. Wamemkata na sababu waliompa ni ACADEMIC CERTIFICATE not certified by advocate.. Hiyo imekaaje?
Nashangaa ina maana visipo kuwa certified mtu akikutwa na fake hawezi kushtakiwa auHaina umuhim sana zaidi ya upigaji kwani hapo zamani ilikuwaje? Watu waliajiriwa vip.
Hiyo Bei Wap huko, Kuna mwanasheria nilienda ananiambia cheti kimoja elfu 15000/= Kuangalia kwenye bahasha Nina vyeti kama sita hivi.Endeleeni kutovipiga mhuri😀😀muone kama mtapata Ajira za serikali kitu simple tu tena kupiga mhuri Tsh 5,000 Kwa vyeti vi 5 au BURE kabisa ila unataka ligi na gov
Kiukweli serikali iliangalie hili suala halina tija ni kuwatengenezea watu upigajiUtaona cheti cha kuzaliwa kimetoka RITA na kina maandishi haya' "certified to be a true copy of the original" na kuna muhuri na saini ya Msajili; ajabu tena wanataka muhuri na sahihi ya Wakili/Mahakama.
Cha kushangaza unapewa cheti na serikali halafu hao hao tena wanataka uka Ki hakiki tena kwa wana sheria hivi ni sawa kweliKucertify cheti ni suala ambalo linatakiwa kufanywa na chuo ambacho kimekupa cheti. Wewe umesoma umemaliza chuo ndio kinawajibika kukupa cheti halali
Kwanini wasifanye utaratibu viwe certified huko huko vinapotoka...maan wao ndo wanavitoa hata kama umegush cheti mwanasheria yeye atajuaje Kam feki yeye mrad umeenda na hela yako anagonga muhur basi unasepaWabongo kwa kulalamika 🙌
Mwanasheria anathibitisha copies za vyeti na sio cheti.
Umeelewa nilichoandika?Kwanini wasifanye utaratibu viwe certified huko huko vinapotoka...maan wao ndo wanavitoa hata kama umegush cheti mwanasheria yeye atajuaje Kam feki yeye mrad umeenda na hela yako anagonga muhur basi unasepa