Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni uamuzi wako mkuu, mimi kikifika mezani ni kunawa na kula tu.Naomba mnielezee kwa kina kuhusu hii kitu
Umuhimu wake hasa ni upi maana sasa naona naendeshwa na imani nyingi sana mpaka nashindwa kuishi kwa amani
Au kusali kabla ya kula kunaweza kukuepusha na chakula chenye sumu ya Panya?
Au LIMBWATA?
1Wakorintho 10:31,Inasema hivi[emoji116][emoji116]Naomba mnielezee kwa kina kuhusu hii kitu
Umuhimu wake hasa ni upi maana sasa naona naendeshwa na imani nyingi sana mpaka nashindwa kuishi kwa amani
Au kusali kabla ya kula kunaweza kukuepusha na chakula chenye sumu ya Panya?
Au LIMBWATA?
Hayo yote yanaweza kukupata hata ukisali. Kusali kabla ya kula ni imani tu, nothing else.Ni muhimu mkuu kusali kabla ya kula,siyo kuepuka sumu tu na limbwata Chakula chenyewe tu kinaweza kukuletea mushkeri mpaka ukashangaa,
Chakula unachokula kinaweza kukukaba au unaweza kupaliwa au kadhia yoyote ile kutokana na chakula ambacho wewe unaona kawaida tu kula..
Zaidi ni kutoa Shukran kwa rizki hiyo!Naomba mnielezee kwa kina kuhusu hii kitu
Umuhimu wake hasa ni upi maana sasa naona naendeshwa na imani nyingi sana mpaka nashindwa kuishi kwa amani
Au kusali kabla ya kula kunaweza kukuepusha na chakula chenye sumu ya Panya?
Au LIMBWATA?