Kuna umuhimu Mke kujua kipato cha Mume?

Kuna umuhimu Mke kujua kipato cha Mume?

Ttz mkishajua kama ulikuwa unatumia 100 na inatosha utataka 300 ili mradi tu 😄
Sasa je, na balaa ndo lilipo.
Au kuchungulia sms,, umeomba hela asubuhi kakwambia ngoja kesho.
Sasa ukishika simu na ukaona sms ya m pesa na salio jipya vimetuna lazima unune 😂
 
Sasa je, na balaa ndo lilipo.
Au kuchungulia sms,, umeomba hela asubuhi kakwambia ngoja kesho.
Sasa ukishika simu na ukaona sms ya m pesa na salio jipya vimetuna lazima unune 😂
Unataka uanze kukimbizana na salio 😂
 
Ni vema wenza wote vipato vyenu kujulikana ili muweze kupanga mipango kulingana na kipato ila Kwa sababu ya ubinafsi hila na mashaka..sio kitu chema,cha msingi kuwe na just approximate figure ili muishi maisha marefu yenye Amani na furaha.
 
Wangu hata hawajui nafanya kazi gani??sembuse napata kiasi gani??HELL NO
 
Back
Top Bottom