brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Michuano ya mapinduzi yanatarajiwa kuanza January 1 mpaka 13.
Kwanini Simba wanatakiwa kujitoa kwenye michuano hii
--Kwanza michuano hii inachezwa katika mfumo usio sahihi, timu inalazimika kucheza mchezo kila baada ya siku 1 kutukana na ufinyu wa muda hi itasababisha wachezaji kuchoka Sana
--michuano ya makundi ligi ya mabingwa barani Africa inatarajiwa kuanza January 11 kwa maana hiyo Simba wataenda kuanza michuano hiyo wameshacheza mechi mfululizo za mapinduzi Cup uku wachezaji wakikabiliwa na uchovu
-- hapo hapo Simba inakabiliwa na vipora vya ligi kuu Tanzania bara mechi karibia 5 watalazimika kucheza back to back kwa muda mfupi na kuathiri matokeo.
-- ikumbukwe ligi kuu Tanzania msimu huu italazimika kumalizia mapema kupisha michuano ya AFCON under 17 yatakayofanyika mchini hivyo Basi kipindi Cha mwezi wa 1 Hadi 4 Simba italazimika kucheza ligi kuu na klabu bingwa mechi zikiwa zimefululizana
Hivyo Basi Kuna kila dalili Simba kupoteza taji la ligi kuu kwa Azam au Yanga ambao ratiba itakuwa upande wao wakicheza kwa kurelex
Bila kusahau Simba tayari imeshatolewa kombe la shilikisho na mashujaa kwaiyo njia rahisi ya kurudi michuano ya kimataifa mwakani Ni kushinda ligi kuu Sasa ikipoteza taji Simba itajikuta inarudi mchangani pamoja na uwekezaji mkubwa anaofanya Mo dewji
Kurudi Tena kimataifa mpaka msimu wa 2020/21
Uongozi wa Simba unatakiwa kuwa makini na vipaumbele vyake