Kuna umuhimu Simba SC kujitoa Mapinduzi CUP

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Michuano ya mapinduzi yanatarajiwa kuanza January 1 mpaka 13.
Kwanini Simba wanatakiwa kujitoa kwenye michuano hii

--Kwanza michuano hii inachezwa katika mfumo usio sahihi, timu inalazimika kucheza mchezo kila baada ya siku 1 kutukana na ufinyu wa muda hi itasababisha wachezaji kuchoka Sana

--michuano ya makundi ligi ya mabingwa barani Africa inatarajiwa kuanza January 11 kwa maana hiyo Simba wataenda kuanza michuano hiyo wameshacheza mechi mfululizo za mapinduzi Cup uku wachezaji wakikabiliwa na uchovu

-- hapo hapo Simba inakabiliwa na vipora vya ligi kuu Tanzania bara mechi karibia 5 watalazimika kucheza back to back kwa muda mfupi na kuathiri matokeo.

-- ikumbukwe ligi kuu Tanzania msimu huu italazimika kumalizia mapema kupisha michuano ya AFCON under 17 yatakayofanyika mchini hivyo Basi kipindi Cha mwezi wa 1 Hadi 4 Simba italazimika kucheza ligi kuu na klabu bingwa mechi zikiwa zimefululizana

Hivyo Basi Kuna kila dalili Simba kupoteza taji la ligi kuu kwa Azam au Yanga ambao ratiba itakuwa upande wao wakicheza kwa kurelex

Bila kusahau Simba tayari imeshatolewa kombe la shilikisho na mashujaa kwaiyo njia rahisi ya kurudi michuano ya kimataifa mwakani Ni kushinda ligi kuu Sasa ikipoteza taji Simba itajikuta inarudi mchangani pamoja na uwekezaji mkubwa anaofanya Mo dewji
Kurudi Tena kimataifa mpaka msimu wa 2020/21

Uongozi wa Simba unatakiwa kuwa makini na vipaumbele vyake
 
Ile michuano ni kichaka cha zfa kujitarisha tu haina faida yeyote

Umetoa wazo zuri sana... hii michuano husababisha injury zisizo maana kwa wachezaji
 
Kweli kabisa mkuu.. Naona mechi za kimataifa kwa mikia mwisho mwaka huu, na kama mbavyojua Yanga akianza kuchukuwa kombe lake basis ni miaka minne au tano ndo anaachia kidogo

Mkuu bingwa Azam labda Yanga kikosi Chao Cha kuungaunga Sana tegemeza Sana jwa makambo akiumia kule mbele ndo basi
 
Kweli kabisa mkuu.. Naona mechi za kimataifa kwa mikia mwisho mwaka huu, na kama mbavyojua Yanga akianza kuchukuwa kombe lake basis ni miaka minne au tano ndo anaachia kidogo
Waache wacheze wale waliocheza kombe la F.A, ili tufungwe mechi za mwanzo na tuondolewe.
Nawaona bado wana hamu ya kucheza mpira.
Kufungwa nako kuna raha yake wakati mwingine.
 
Michuano ya mapinduzi yanatarajiwa kuanza January 1 mpaka 13.
Kwanini Simba wanatakiwa kujitoa kwenye michuano hii

--Kwanza michuano hii inachezwa katika mfumo usio sahihi, timu inalazimika kucheza mchezo kila baada ya siku 1 kutukana na ufinyu wa muda hi itasababisha wachezaji kuchoka Sana

--michuano ya makundi ligi ya mabingwa barani Africa inatarajiwa kuanza January 11 kwa maana hiyo Simba wataenda kuanza michuano hiyo wameshacheza mechi mfululizo za mapinduzi Cup uku wachezaji wakikabiliwa na uchovu

-- hapo hapo Simba inakabiliwa na vipora vya ligi kuu Tanzania bara mechi karibia 5 watalazimika kucheza back to back kwa muda mfupi na kuathiri matokeo.

-- ikumbukwe ligi kuu Tanzania msimu huu italazimika kumalizia mapema kupisha michuano ya AFCON under 17 yatakayofanyika mchini hivyo Basi kipindi Cha mwezi wa 1 Hadi 4 Simba italazimika kucheza ligi kuu na klabu bingwa mechi zikiwa zimefululizana

Hivyo Basi Kuna kila dalili Simba kupoteza taji la ligi kuu kwa Azam au Yanga ambao ratiba itakuwa upande wao wakicheza kwa kurelex

Bila kusahau Simba tayari imeshatolewa kombe la shilikisho na mashujaa kwaiyo njia rahisi ya kurudi michuano ya kimataifa mwakani Ni kushinda ligi kuu Sasa ikipoteza taji Simba itajikuta inarudi mchangani pamoja na uwekezaji mkubwa anaofanya Mo dewji
Kurudi Tena kimataifa mpaka msimu wa 2020/21

Uongozi wa Simba unatakiwa kuwa makini na vipaumbele vyake
Si msemaji wao alitapa kwamba simba wana uwezo wa kucheza mechi mbili kwa siku moja? Imekuwaje tena
 
Si mna kikosi kipana ?

Mbona mnaanza kuweweseka mapema
Kikosi kipana Bado hakiondoi uhalisia uliopo mbeleni wa mlindukano wa mechi lazima kuwepo na uwanja sawa was mapambano
 
Si msemaji wao alitapa kwamba simba wana uwezo wa kucheza mechi mbili kwa siku moja? Imekuwaje tena
Usifananishe mbwembwe za majigambo na Hali halisi kwenye football timi yoyote lazima in key players amboa hucheza mechi nyingi zaidi
 
Sa hivi ndio mnaona hilo?
Si mlisema Yanga iliwakimbia mashindano ya Kagame? Na huku tuseme mnaikimbia Yanga sio!!
Lakini manara ashasema mna kikosi kipana mnaweza kucheza mechi 2 kwa wakati mmoja.
 
Naona Mashujaa wanawafanya simba waanze kuteseka, sijui wakikutana na akina Al ahaly sijui itakuaje,!
 
Sawa dada nimekuelewa ombi lako ila utumbo una chumvi nyingi sana.
Michuano ya mapinduzi yanatarajiwa kuanza January 1 mpaka 13.
Kwanini Simba wanatakiwa kujitoa kwenye michuano hii

--Kwanza michuano hii inachezwa katika mfumo usio sahihi, timu inalazimika kucheza mchezo kila baada ya siku 1 kutukana na ufinyu wa muda hi itasababisha wachezaji kuchoka Sana

--michuano ya makundi ligi ya mabingwa barani Africa inatarajiwa kuanza January 11 kwa maana hiyo Simba wataenda kuanza michuano hiyo wameshacheza mechi mfululizo za mapinduzi Cup uku wachezaji wakikabiliwa na uchovu

-- hapo hapo Simba inakabiliwa na vipora vya ligi kuu Tanzania bara mechi karibia 5 watalazimika kucheza back to back kwa muda mfupi na kuathiri matokeo.

-- ikumbukwe ligi kuu Tanzania msimu huu italazimika kumalizia mapema kupisha michuano ya AFCON under 17 yatakayofanyika mchini hivyo Basi kipindi Cha mwezi wa 1 Hadi 4 Simba italazimika kucheza ligi kuu na klabu bingwa mechi zikiwa zimefululizana

Hivyo Basi Kuna kila dalili Simba kupoteza taji la ligi kuu kwa Azam au Yanga ambao ratiba itakuwa upande wao wakicheza kwa kurelex

Bila kusahau Simba tayari imeshatolewa kombe la shilikisho na mashujaa kwaiyo njia rahisi ya kurudi michuano ya kimataifa mwakani Ni kushinda ligi kuu Sasa ikipoteza taji Simba itajikuta inarudi mchangani pamoja na uwekezaji mkubwa anaofanya Mo dewji
Kurudi Tena kimataifa mpaka msimu wa 2020/21

Uongozi wa Simba unatakiwa kuwa makini na vipaumbele vyake
 
Si msemaji wao alitapa kwamba simba wana uwezo wa kucheza mechi mbili kwa siku moja? Imekuwaje tena
Huo uwezo bado upo hata leo ikiwa Simba itakuwa na kocha msaidizi wa kiwango cha Matola.

Wale.wachezaji ni wazuri na wanaweza kucheza ligi kuu na kufanya vizuri ila Simba ina bench la fundi la kawaida sana kulingana na uwezo wake.
 
Back
Top Bottom