Kuna umuhimu wa kufikiria kwa kina aina ya watoto mtu anaowataka kabla ya kuamua kuzaa ?

Kuna umuhimu wa kufikiria kwa kina aina ya watoto mtu anaowataka kabla ya kuamua kuzaa ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kuna umuhimu wa kufikiria watoto kabla ya watu kuamua kuzaa?

Mfano kiwango cha akili cha mwenza wako na kimo.
HQi3ALtXIAAOm-0.jpg
HQi3AL8WIAALyjv.jpg
 
Masuala mengine yatajiweka yenyewe katika msitari,unaweza ukawa mfupi ukapenda uwe na mwanamke mfupi ili usidharauliwe na mwanao itakaye mzaa akapenda mwanamke mrefu hivyo akazaa watoto warefu au wafupi.
Mambo huwa yanajipanga wenyewe nu kama kwenye siasa,unaweza sema huyu ni bora akaja mwingine na mambo yakaenda kama kawa.
 
Kama akili zipo sawa, urefu ni bonasi tu. Isitoshe, genetics huwa hazina fomula ya moja kwa moja, mnaweza kuwa wafupi ninyi wawili lakini mtoto akatoka mrefu, au mkawa marefu mkafanya copy and paste ya babu mfupi. Priority inatakiwa iwe akili na tabia kwanza.
 
Back
Top Bottom