Bonge la IdeaPolisi ilitakiwa livunjwe vunjwe kuwe na unit ambazo zinajitegemea kwa kila kitu na mamlaka yake kamili. Na hizo unit kila unit inaweza mujibisha mwenzake vizuri tu panapo tokea ukiukwaji wa sheria na taratibu
Tutaaanza kumalizana nao. Nimesikia Conrad kaumizwa sanaTume za kitaalam zilishapendekeza kitambo kufumuliwa muundo wa hilo jeshi. Ni vile tu linatumika miaka nenda kuinufaisha ccm, ndiyo maana hawataki kulifumua.
Police force ni moja ya jumuia za CCM kama ilivyo BAKWATA, UWT, UVCCM, TISS na JWTZ hivyo cha kukivunja hapo ni CCM ndipo hizo jumuia zake automatically zitavunjika.Kuna mapungufu makubwa sana ya kimfumo na kiutendaji hadi kwa individuals, sasa hivi hawa jamaa wanajiona wao ndio kila kitu...wanaweza kukufanya chochote.
Nashauri kabla ya Wananchi hawajaamua kujilinda dhidi ya majambazi haya ni muhimu sana hatua zikachukuliwa.
Kuna siku watoto wa Polisi watashindwa kutoka nje, hii chuki sio ndogo ni kubwa sana.