Hii ni January 01/01/2020. Tuanze kufikiria tutafikaje October na kuanza kufanya implement ions. Tusitegemee kudra.Kimsingi tunahitaji tume huru ya uchaguzi ,tunahitaji katiba ifuatwe na isikiukwe kabisa.
Tatizo ni namna ya kuipata hyo tume ndo shughuli ,bila ya katiba mpya yenye kuendana na mahitaji ya jamii kwa Sasa bdo hili Jambo linakuwa gumu Sana ,but one thing tunaweza kufanya ni kuacha Mara moja kukataa kuingia katika kupiga kura ,panapo majaaliwa ya m/ mungu tujitokeze tu na tupige kura nyingi za kutosha then ,,wakiiba basi awamu hii viongozi wetu wasikubali tuombe msaada kutoka nje ,tusaidiwe ,ikibidi hata iundwe serikali ya mseto ,manake tumechoka Sasa dah [emoji848][emoji848][emoji3525]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Rais ni wa kufanyiwa fujo tu Kama Blaise Compaoure wa Burkina FasoLeo ni 01/01/2020 hongera kwa kuona mwaka mpya. Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhinili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga kura?
Wengi wanadai tume huru ya uchaguzi. Muda tulionao utatosha kuiandaa tume huru na iwe tayari kufanya kazi October 2020? Kama wazo lenyewe la tume huru halijawasilishwa wala kupokelewa?
Endelea kupiga kura huko Ulaya!Leo ni 01/01/2020 hongera kwa kuona mwaka mpya. Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhinili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga kura?
Wengi wanadai tume huru ya uchaguzi. Muda tulionao utatosha kuiandaa tume huru na iwe tayari kufanya kazi October 2020? Kama wazo lenyewe la tume huru halijawasilishwa wala kupokelewa?
Tutapiga sisi nyinyi wasaliti bakini hukohuko kwa mabeberu!Tungewekewa tu alama ya Ndiyo au Hapana kama enzi za Chama kushika hatamu.
Hata hapo umeshafanya fujo!! Unataka fujo gani sasa?Huyu Rais ni wa kufanyiwa fujo tu Kama Blaise Compaoure wa Burkina Faso
Hapana 100%Leo ni 01/01/2020 hongera kwa kuona mwaka mpya. Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhinili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga kura?
Wengi wanadai tume huru ya uchaguzi. Muda tulionao utatosha kuiandaa tume huru na iwe tayari kufanya kazi October 2020? Kama wazo lenyewe la tume huru halijawasilishwa wala kupokelewa?
Mwaka huu ndiyo mwisho wa Chadema!Kwenda kupiga kura ni matumizi mabaya ya muda na akili
Nenda Twitter kamwambie mboweMwaka huu ndiyo mwisho wa Chadema!
Hapo sawa upinzani wa maana ndani CCM utasaidia kuinua maendeleo ndani na nchi kwa ujumla!Mbaki na upinzani ndani ya CCM?
Ndiyo anakokaa? Mimi na mwambia mleta mada hapa JFNenda Twitter kamwambie mbowe