Kimsingi tunahitaji tume huru ya uchaguzi ,tunahitaji katiba ifuatwe na isikiukwe kabisa.
Tatizo ni namna ya kuipata hyo tume ndo shughuli ,bila ya katiba mpya yenye kuendana na mahitaji ya jamii kwa Sasa bdo hili Jambo linakuwa gumu Sana ,but one thing tunaweza kufanya ni kuacha Mara moja kukataa kuingia katika kupiga kura ,panapo majaaliwa ya m/ mungu tujitokeze tu na tupige kura nyingi za kutosha then ,,wakiiba basi awamu hii viongozi wetu wasikubali tuombe msaada kutoka nje ,tusaidiwe ,ikibidi hata iundwe serikali ya mseto ,manake tumechoka Sasa dah [emoji848][emoji848][emoji3525]
Sent using
Jamii Forums mobile app