Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo lakini tunahitaji vyama vinavyosaidia watz siyo wala ruzuku tu kama Chadema wanashindwa hata kujenga ofisi wakati wanapewa ruzuku ya almost 350million per month lakini zinaishia kwenye matumbo ya kina Mbowe na genge lake.Unahabari kuwa Tanzania ni nchi yenye mfumo wa vyama vingi?
Chadema imewekeza katika rasilimali watu, ofisi ni majengo tu. Ninakuhakikishia bila ruzuku Chadema itabidi kuimarika.Ndiyo lakini tunahitaji vyama vinavyosaidia watz siyo wala ruzuku tu kama Chadema wanashindwa hata kujenga ofisi wakati wanapewa ruzuku ya almost 350million per month lakini zinaishia kwenye matumbo ya kina Mbowe na genge lake.
Haya ngoja tusubiri baada ya Oct 2020 tutajua kama ukisemacho ni real!Chadema imewekeza katika rasilimali watu, ofisi ni majengo tu. Ninakuhakikishia bila ruzuku Chadema itabidi kuimarika.
Leo ni 01/01/2020 hongera kwa kuona mwaka mpya. Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhinili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga kura?
Wengi wanadai tume huru ya uchaguzi. Muda tulionao utatosha kuiandaa tume huru na iwe tayari kufanya kazi October 2020? Kama wazo lenyewe la tume huru halijawasilishwa wala kupokelewa?
Hapana bali ni ruzuku zetu! Hizo ni kodi tulizolipa tunataka zifanyekazi za umma kupitia Chadema. Kujenga ofisi itakifanya chama kiwepo muda mrefu ili watz wafaidike na chama chao.Kumbe Chuki yote Hii ni Chadema kukosa ofisi ndiyo kisa?
Kwahiyo haki ya ruzuku ni Polepole kununulia wabunge na madiwani wa upinzani?Hapana bali ni ruzuku zetu! Hizo ni kodi tulizolipa tunataka zifanyekazi za umma kupitia Chadema. Kujenga ofisi itakifanya chama kiwepo muda mrefu ili watz wafaidike na chama chao.
Manka unaelewa maana ya mfumo wa vyama vingi lakini?!Unahabari kuwa Tanzania ni nchi yenye mfumo wa vyama vingi?
Itakuwa ni upotevu wa pesa za walipa Kodi. Call it missappropriation of taxpayers money. Hiyo budget ipelekwe kuongeza terminal katika uwanja wa ndege wa Mwanza.Leo ni 01/01/2020 hongera kwa kuona mwaka mpya. Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhinili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga kura?
Wengi wanadai tume huru ya uchaguzi. Muda tulionao utatosha kuiandaa tume huru na iwe tayari kufanya kazi October 2020? Kama wazo lenyewe la tume huru halijawasilishwa wala kupokelewa?
Kimsingi tunahitaji tume huru ya uchaguzi ,tunahitaji katiba ifuatwe na isikiukwe kabisa.
Tatizo ni namna ya kuipata hyo tume ndo shughuli ,bila ya katiba mpya yenye kuendana na mahitaji ya jamii kwa Sasa bdo hili Jambo linakuwa gumu Sana ,but one thing tunaweza kufanya ni kuacha Mara moja kukataa kuingia katika kupiga kura ,panapo majaaliwa ya m/ mungu tujitokeze tu na tupige kura nyingi za kutosha then ,,wakiiba basi awamu hii viongozi wetu wasikubali tuombe msaada kutoka nje ,tusaidiwe ,ikibidi hata iundwe serikali ya mseto ,manake tumechoka Sasa dah [emoji848][emoji848][emoji3525]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama vipi msuse tu kama kawaida yenu, Mbowe ni failure tangu aondoke Dr Slaa hamna la maana alilolifanya na hii 2020 zaidi ya kususa hamna atakalofanya.
Tutapiga sisi nyinyi wasaliti bakini hukohuko kwa mabeberu!
Poaaa, tuungane kumshauri Mbowe asuse mapemaaa tu.Toka Dr. Slaa aondoke cdm, nchi yetu haijawahi kushuhudia chaguzi za kihayawani na kishenzi namna hii. Ni washenzi tu watashiriki chaguzi za aina hii.
Leo ni 01/01/2020 hongera kwa kuona mwaka mpya. Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhinili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga kura?
Wengi wanadai tume huru ya uchaguzi. Muda tulionao utatosha kuiandaa tume huru na iwe tayari kufanya kazi October 2020? Kama wazo lenyewe la tume huru halijawasilishwa wala kupokelewa?
Poaaa, tuungane kumshauri Mbowe asuse mapemaaa tu.