Kuna umuhimu wa kuwa na bunge la kudumu la wabunge wanaolipwa muda wote?

Kuna umuhimu wa kuwa na bunge la kudumu la wabunge wanaolipwa muda wote?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Sifa kubwa za mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu, kwa mfumo wa nchi yetu mambo mengi ya nchi yanaamuliwa na kuendeshwa na serikali kuu badala ya kuwa na uchaguzi wa wabunge na bunge ambalo wata wanalipwa kila mwezi tunaweza kupunguza gharama sana na kuongeza ufanisi kwa kuondokana na bunge la aina hiyo kwa mwenyekiti wa halmashauri kuwa mbunge au diwani mmoja awe anateuliwa na madiwani wa jimbo husika kila kikao cha bunge kinapofika kuwakilisha jimbo lao kama mbunge. Hapo mbunge mteuliwa wa muda huo atalipwa posho tu kuhudhuria hicho kikao na ubunge wake utakoma kikao cha bunge kitakapomalizika.

Rais au waziri akitembelea jimbo Mwenyekiti wa halmashauri au diwani mmoja anateuliwa kuwa msemaji kwa niaba ya wengine.
 
Screenshot_20250204-193144.jpg
 
Back
Top Bottom