marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,111
- 1,952
Jambo baya linalo endelea mtaani ni kwamba wananchi wana lidharau sana Jeshi lao kwa sasa
Jeshi linaonekana kamq wasaliti wasio na msimamo kama walivyo paswa kuwa ..
Raia kwa miaka mingi wana chukulia jeshi ni mkombozi wa wanachi hasa kukiwa na udharimu unafanywa na serikali pamoja na polisi .
Sasa kutokana na wao kuto fanya lolote MO29 basi watu wame watoa kabisa kwenye mioyo yao ..
sasa swali langu ni je Kuna athari zozote kwa jeshi kutokana na kushuka kwa imani hii kwa wananchi ?
na kama kuna adhari ni zipi na ile imani inawez kurudi kwa namna ipi?