KUNA UMUHIMU WOWOTE KWA RAIA KUWAPENDA AU KUWA HESHIMU JWTZ?

Nadhani kudharauliwa kwao ni kwa kujitakia. Kabla ya tarehe 29, wananchi wengi walikuwa wana imani kubwa juu yao kuhusu kuchukua maamuzi magumu. Ila baada ya ile tarehe na ule uapisho kule porini! Aisee wananchi waliwaona ni snitch tu.
 
..kiwango cha damage pengine kingepelekea kitu kingine kufanyika,ktk hali ya kawaida serikali ikituma au kuelekeza watu wauwawe tayari inakosa uhalali wa kuendelea kuwepo, inakuwa si serikali tena bali genge la wauwaji..na hivyo wenye wajibu wa kulinda raia wanafahamu jambo la kufanya hali inapofikia hapo..km coup au kuwatafuta wauwaji lolote ambalo ni halali kwao kulifanya.
Hivi unajua kwamba baada ya coup hali Huwa ni mbaya zaidi na hapo polisi na jeshi huungana zaidi kuhakikisha hakuna sauti ya upinzan inachomoza?
Wapinzani watashughulikiwa kwa mtutu. Bahati mbaya wananchi ndo sisi tutapelekwa kijeshi wiki tu tutachoka. Kitakachofuata kelele baada ya kelele utadhibitiwa tena na jeshi au haohao polisi.
Cha kufanya lazima tukubaliane kwamba katiba ibadilishwe( linafanyiwa kazi tumeambiwa) la sivyo si ajabu d9 hao wa mabaka wakawa wengi zaidi siku hiyo na wskafanya mambo ya ovyo zaidi
 
U

we mjinga kweli yaani uwapeleke wananchi kama unavyofanyia familia Yako Kwa kigezo Cha silaha ulitaka nchi hii damu zimwagike kama maji ya bahari jeshi lijaribu kuanza kuua raia hadharani kuanzia hapo Hilo halitotambulika kwamba ni jeshi Bali magaidi na nadhani unajua watu wanadili vipi na magaidi
 
lingekuwa kweli ni jeshi la wananchi basi october 29 wananchi wasingeuliwa mitaani kama digidigi huku wao wamekodoa macho tu.

Kabla ya mauaji ya halaiki wananchi walionyesha Love sana kwao, lakini wananchi wakauawa kama kuku.

Hilo ni Jeshi sina imani nalo, halilindi wananchi linalinda kikundi cha watu wachsche wenye nguvu.
 
Wanajeshi wetu laana iwe juu Yao kwa kuwasaliti raia. Walipaswa kumuweka pembeni Samuya ili kuzuia umwagikaji damu toka magenhe ya samuya lakini wao pia wanapaswa kishitakiwa kwa kushiriki vurugu za kuua watu mo29
 
Respect is earned!

Wakalishe kend* hapo wadhani tunaweza kuwaheshimu hivi hivi, walipwe mishahara kwa kodi zetu, wasitutumikie na bado tuwaheshimu?

Do these people realize that their salaries come from the same folks they refused to protect?

Wanatakiwa waelimishwe kuwa viongozi waliopo madarakani hata wakiuza
koo zao zote hawatapa hata robo ya pesa za kuwalipa mishahara kwa mwezi mmoja. Nina wasiwasi mkubwa kama wanalijua hili.
 
U

we mjinga kweli yaani uwapeleke wananchi kama unavyofanyia familia Yako Kwa kigezo Cha silaha ulitaka nchi hii damu zimwagike kama maji ya bahari jeshi lijaribu kuanza kuua raia hadharani kuanzia hapo Hilo halitotambulika kwamba ni jeshi Bali magaidi na nadhani unajua watu wanadili vipi na magaidi
Acha matusi boss njoo na hoja kuhusu hili swala usikurupuke boss. Hoja yangu ni kwamba baada ya coupd tat hali yaweza kuwa mbaya zaidi hasa kwa wakosoaji wa nyu gvnt. Unalionaje hili? Ina maana tutazidi kulalamika? Hii pekee ndio hoja hapo epuka matusi
 
Hivi unajua kwamba baada ya coup hali Huwa ni mbaya zaidi na hapo polisi na jeshi huungana zaidi kuhakikisha hakuna sauti ya upinzan inachomoza?
Wapinzani watashughulikiwa kwa mtutu. Bahati mbaya wananchi ndo sisi tutapelekwa kijeshi wiki tu tutachoka. Kitakachofuata kelele baada ya kelele utadhibitiwa tena na jeshi au haohao polisi.
Cha kufanya lazima tukubaliane kwamba katiba ibadilishwe( linafanyiwa kazi tumeambiwa) la sivyo si ajabu d9 hao wa mabaka wakawa wengi zaidi siku hiyo na wskafanya mambo ya ovyo zaidi
..sio kila kitu au tukio linafanana, hiyo hali mbaya unayosema inaweza kuwa ndio dawa ya mambo mengi yaliyojificha! na si kila jambo una pre-empty..get the experience first! hawa waliopo hawawezi kuleta katiba wananchi wanataka..! rekebisha kasoro kwanza kabla ya kutengeneza!
 
hii bongo ngo’0mbe ni wengi kuliko watu nyie hamjasalitiwa na jeshi mlidanganywa na kuingizwa cha kike na dada enu mange nanukuu maneno yake ya uongo na utapeli
“Jeshi lipo Pamoja na nyie polisi pia wapo Pamoja na nyie” Leo mnatoa lawama jeshi limewasaliti lini mlikubaliana nalo??? Mkatengenezewa muhuni mmoja TESHA yuko wapi?????
 
Jambo baya linalo endelea mtaani ni kwamba wananchi wana lidharau sana Jeshi lao kwa sasa

Jeshi linaonekana kamq wasaliti wasio na msimamo kama walivyo paswa kuwa ..

Raia kwa miaka mingi wana chukulia jeshi ni mkombozi wa wanachi hasa kukiwa na udharimu unafanywa na serikali pamoja na polisi .

Sasa kutokana na wao kuto fanya lolote MO29 basi watu wame watoa kabisa kwenye mioyo yao ..

sasa swali langu ni je Kuna athari zozote kwa jeshi kutokana na kushuka kwa imani hii kwa wananchi ?

na kama kuna adhari ni zipi na ile imani inawez kurudi kwa namna ipi?
Unatakiwa kuwaheshimu kama unavyo waheshimu watu wengine
 
Back
Top Bottom