marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,111
- 1,952
Walinde raiaNaomba nikuulize kitu boss.
We kwa fikra zako siku Ile ulitaka jeshi lifanye Nini?
Wangelinda raia kwa namna gani kwa kupigana na polisi?Walinde raia
..ili kulinda raia ni lazima kupigana na polisi? pili, wewe ndio unatambua wale ni polisi lkn kwao wanajeshi mtu akishambulia raia ana jina lake, sio hilo unalotaja..Wangelinda raia kwa namna gani kwa kupigana na polisi?
Oh sawa kiufupi boss we ulitegemea hivi vyombo viumane then coup?..ili kulinda raia ni lazima kupigana na polisi? pili, wewe ndio unatambua wale ni polisi lkn kwao wanajeshi mtu akishambulia raia ana jina lake, sio hilo unalotaja..
..kiwango cha damage pengine kingepelekea kitu kingine kufanyika,ktk hali ya kawaida serikali ikituma au kuelekeza watu wauwawe tayari inakosa uhalali wa kuendelea kuwepo, inakuwa si serikali tena bali genge la wauwaji..na hivyo wenye wajibu wa kulinda raia wanafahamu jambo la kufanya hali inapofikia hapo..km coup au kuwatafuta wauwaji lolote ambalo ni halali kwao kulifanya.Oh sawa kiufupi boss we ulitegemea hivi vyombo viumane then coup?