Hahahahah sawa Mbabala Butcher!Kama hutaki Mifupa Chukua Steki tu kaka.
Tafadhari tafuta hela haya mambo ni madogo sana
Kama ambavyo walitii sheria ya kuacha magogo ndivyo ambavyo watatii sheria ya kutouza mifupa ila mkubali kilo kuuziwa 10,000 tu sasa!Ni Bucha ngapi wanakubali kuuza steki?
Na akikubali kukuuzia juwa ni nyama ya Jana na Juzi mixa na ya Leo kiduchu. Ni majanga.
Sema uvivu TU wa kibiashara mwenye bucha angeweka bei juu ya steki watu wangenunua mbona supermarket unapata steki tupu bila mfupa wowote na watu wananunuaNi Bucha ngapi wanakubali kuuza steki?
Na akikubali kukuuzia juwa ni nyama ya Jana na Juzi mixa na ya Leo kiduchu. Ni majanga.
Mimi siku zote nasemaga kwamba hakuna mfupa mtamu kwa ng'ombe.Wanabodi, imekuwa kawaida kwa Bucha zetu nchini kuuza nyama na mifupa yake. Awali walitumia mashoka kupasua mifupa hiyo na sasa misumeno inayoendeshwa na umeme imetamalaki.
Kwa hali ilivyo sasa katika Bucha nyingi, mifupa ni muhimu katika kutengeneza faida kwao na karaha kwa walaji.
Uwa najiulizi, kwanini mifupa iwepo. Na uwa nadhani, kutokana na ubora hafifu wa ng'ombe zetu kupelekea kukosa nya za kutosha.
Kama Kuna umuhimu wa mifupa, Basi Mamlaka husika zisimamie vizuri mizani za Bucha zetu. Na ikibidi, Iwe sheria kutumia mizani za kidigitali.
Au, Iwe sheria kuuza nyama na sio mifupa.
Hadi ukomae nyama nzuri unayoona hawatakuuzia watachukua ya Jana halafu wanakata kiduchu ya leo kutupia kwenye mzaniKiukweli bucha za kibongo ni magumashi.Yaani ukiwa unapita unaona wametundika nyama nzuri kweli.Kimbembe Sasa unaponunua wanavyokukatia nyama za ajabu ajabu Hadi ukifika maskan unajiuliza ile nyama nzuri niliyoona ni hii kweli.
Yaani sio poa. Sijui ile nyama nzuri anakulaga nani.Hadi ukomae nyama nzuri unayoona hawatakiuzia watachukua ya Jana halafu wanakata kiduchu ya leo kutupia kwenye mzani
Wenye Bucha Tanzania kuuona ufalme wa Mungu sio rahisi
Ya jana ndiyo nyama mkuu, hiyo ya leo unakula muscles mkuu! Steak mbona zipo mkuu na bei zake zinajulikana?Ni Bucha ngapi wanakubali kuuza steki?
Na akikubali kukuuzia juwa ni nyama ya Jana na Juzi mixa na ya Leo kiduchu. Ni majanga.
Wanauza ila bei inakuwa zaidi ya ile ya mixer mifupa.Ni Bucha ngapi wanakubali kuuza steki?
Na akikubali kukuuzia juwa ni nyama ya Jana na Juzi mixa na ya Leo kiduchu. Ni majanga.
Biashara nyingi Bongo bado wanatumia mtindo wa kizamani sana. Wanatakiwa kuwa wabunifu zaidi. Kuna sehemu niliona (siyo Bongo) wao hukata nyama mapande makubwa eg nusu kilo na kuendelea na kuweka kila kipande sehemu yake. Mnunuzi anachagua pande analotaka. Hili la mifupa ni tatizo. Ukitaka kupambana nalo mpaka utumie mbinu za medani eg unakuwa customer wa sehemu moja kwa muda mrefu. Wakishakuzoea utakuwa unapata nyama nzuri.Kiukweli bucha za kibongo ni magumashi.Yaani ukiwa unapita unaona wametundika nyama nzuri kweli.Kimbembe Sasa unaponunua wanavyokukatia nyama za ajabu ajabu Hadi ukifika maskan unajiuliza ile nyama nzuri niliyoona ni hii kweli.