Kindred Spirit JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 260 Reaction score 375 Dec 9, 2023 #21 Hujawahi kuona watu wanaamlia ugomvi lakini wapiganaji wanaendelea kurushiana ngumi, ndo kinachoendelea hapo mashariki ya kati.
Hujawahi kuona watu wanaamlia ugomvi lakini wapiganaji wanaendelea kurushiana ngumi, ndo kinachoendelea hapo mashariki ya kati.
Z zithromax JF-Expert Member Joined Apr 26, 2016 Posts 7,482 Reaction score 7,957 Dec 10, 2023 #22 ITR said: Una elimu gani kuhusu masuala ya kimataifa? Mataifa matano yana kula ya turufu ambayo ni Marekani, Urusi,China, Ufaransa,na Uingereza. Kula moja tu ya turufu ya nchi moja wapo inaweza kubatilisha kula za mataifa yote duniani. Click to expand... Kuna siku marekani atatamani urus na Uchina zitoke kwenye hiyo list .maana inawakaera sana NATO Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
ITR said: Una elimu gani kuhusu masuala ya kimataifa? Mataifa matano yana kula ya turufu ambayo ni Marekani, Urusi,China, Ufaransa,na Uingereza. Kula moja tu ya turufu ya nchi moja wapo inaweza kubatilisha kula za mataifa yote duniani. Click to expand... Kuna siku marekani atatamani urus na Uchina zitoke kwenye hiyo list .maana inawakaera sana NATO Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app