Kuna umuhiu gani wa UN kama mataifa mengi yamepiga kura vita ya Gaza isitishwe lakini bado Israel inaendelea kisa Marekani kapiga kura ya kumpa ruksa?

Kuna umuhiu gani wa UN kama mataifa mengi yamepiga kura vita ya Gaza isitishwe lakini bado Israel inaendelea kisa Marekani kapiga kura ya kumpa ruksa?

Hujawahi kuona watu wanaamlia ugomvi lakini wapiganaji wanaendelea kurushiana ngumi, ndo kinachoendelea hapo mashariki ya kati.
 
Una elimu gani kuhusu masuala ya kimataifa?

Mataifa matano yana kula ya turufu ambayo ni Marekani, Urusi,China, Ufaransa,na Uingereza.

Kula moja tu ya turufu ya nchi moja wapo inaweza kubatilisha kula za mataifa yote duniani.
Kuna siku marekani atatamani urus na Uchina zitoke kwenye hiyo list .maana inawakaera sana NATO

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom