Kindred Spirit
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 260
- 375
Hujawahi kuona watu wanaamlia ugomvi lakini wapiganaji wanaendelea kurushiana ngumi, ndo kinachoendelea hapo mashariki ya kati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku marekani atatamani urus na Uchina zitoke kwenye hiyo list .maana inawakaera sana NATOUna elimu gani kuhusu masuala ya kimataifa?
Mataifa matano yana kula ya turufu ambayo ni Marekani, Urusi,China, Ufaransa,na Uingereza.
Kula moja tu ya turufu ya nchi moja wapo inaweza kubatilisha kula za mataifa yote duniani.