sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Na hapa tunaangalia zaidi Jeshini.
Niliwahi sikia stori mzanzibari si mwenzako mnapomaliza mafunzo JKT, wewe mtu wa bara uliezaliwa na kukulia hapa bara utaenda JKT na kujitolea hata miaka lakini mwisho wa siku utaambiwa umeiva sasa urudi kwenu kuendelea na shughuli zingine, Ila wazaznibari huwa wanabakizwa wanapigiwa pasi fasta kuingia JWTZ, polisi, usalama, magereza, zima moto, uhamiaji, n.k.
Pia na huko kwenye majeshi ni vipi, kuna upendeleo maalum wa wazanzibari kupendelewa katika vyeo vizito vizito?