Kuna upendeleo maalum wa wazanzibari kupendelewa katika vyeo?

Na hapa tunaangalia zaidi Jeshini.

Niliwahi sikia stori mzanzibari si mwenzako mnapomaliza mafunzo JKT, wewe mtu wa bara uliezaliwa na kukulia hapa bara utaenda JKT na kujitolea hata miaka lakini mwisho wa siku utaambiwa umeiva sasa urudi kwenu kuendelea na shughuli zingine, Ila wazaznibari huwa wanabakizwa wanapigiwa pasi fasta kuingia JWTZ, polisi, usalama, magereza, zima moto, uhamiaji, n.k.

Pia na huko kwenye majeshi ni vipi, kuna upendeleo maalum wa wazanzibari kupendelewa katika vyeo vizito vizito?
Ushasema wazanzibari. Hamjui kuwa hawa ni magabacholi kama magabacholi wengine hata kama gabacholi mwenzao sasa ni rahisi wenu? Wale wanajiona waarabu zaidi sawa na wasudan kuliko wabara wanaowaita machogo utadhani wao hawana hivyo vichogo ukiachia mbali kuwa wengi ni mabaki ya watumwa na manamba waliochukuliwa Angola, Malawi, DRC, Zimbabwe na Nchumbiji.
 
Hata wewe ukipata madaraka utawapendelea wa kwenu ni asili yetu waafrika
 
Na hapa tunaangalia zaidi Jeshini.

Niliwahi sikia stori mzanzibari si mwenzako mnapomaliza mafunzo JKT, wewe mtu wa bara uliezaliwa na kukulia hapa bara utaenda JKT na kujitolea hata miaka lakini mwisho wa siku utaambiwa umeiva sasa urudi kwenu kuendelea na shughuli zingine, Ila wazaznibari huwa wanabakizwa wanapigiwa pasi fasta kuingia JWTZ, polisi, usalama, magereza, zima moto, uhamiaji, n.k.

Pia na huko kwenye majeshi ni vipi, kuna upendeleo maalum wa wazanzibari kupendelewa katika vyeo vizito vizito?
Wanaopendelewa jeshini Ni watu wa Mara hasa wakurya na wazanaki.
Jeshini ukikuta mtu mmoja toka Tanga au Kukimanjaro mmoja ujue Kuna watu sita toka Mara.
 
Mwinyi alipokuwa waziri wa ulinzi alipaharibu sana apo miaka yake kumi na tano apo ameharibu taswira ya jeshi letu
 
Na hapa tunaangalia zaidi Jeshini.

Niliwahi sikia stori mzanzibari si mwenzako mnapomaliza mafunzo JKT, wewe mtu wa bara uliezaliwa na kukulia hapa bara utaenda JKT na kujitolea hata miaka lakini mwisho wa siku utaambiwa umeiva sasa urudi kwenu kuendelea na shughuli zingine, Ila wazaznibari huwa wanabakizwa wanapigiwa pasi fasta kuingia JWTZ, polisi, usalama, magereza, zima moto, uhamiaji, n.k.

Pia na huko kwenye majeshi ni vipi, kuna upendeleo maalum wa wazanzibari kupendelewa katika vyeo vizito vizito?
Wazanzibari ni wasukuma wanayamwezi Makonde ndengereko wadigo wabondei wazaramo kwa kifupi hao ni wabongo wenzetu
 
Na hapa tunaangalia zaidi Jeshini.

Niliwahi sikia stori mzanzibari si mwenzako mnapomaliza mafunzo JKT, wewe mtu wa bara uliezaliwa na kukulia hapa bara utaenda JKT na kujitolea hata miaka lakini mwisho wa siku utaambiwa umeiva sasa urudi kwenu kuendelea na shughuli zingine, Ila wazaznibari huwa wanabakizwa wanapigiwa pasi fasta kuingia JWTZ, polisi, usalama, magereza, zima moto, uhamiaji, n.k.

Pia na huko kwenye majeshi ni vipi, kuna upendeleo maalum wa wazanzibari kupendelewa katika vyeo vizito vizito?
Kuna haja ya kupitia upya muungano huu fake ambao akiwa rais Mzanzibari kila kitu ni kwa wazanzibari kama ilivyo sasa
 
Wanaandaa jeshi lao siku mkiwazungua wanarudi kujikusanya na kuwakabili
 
hata wasaidiwe vipi, hawawezi kutushinda, kwasababu elimu kwao ni mzigo. elimu elimu elimu.
Sio mzigo tu bali pia ni wavivu ma mwinyi wana roho mbaya wanafiki wa zanzibar wanajiona waarabu.
 
Wa zenji ni Wachache halafu kazi za jeshi hawazifagilii kama bongo bongo kazi ya jeshi ni kimbilio la wengi sana mtu akiona plan zake zimefika mwisho au mbele kiza wa nawaza hiyo kitu na serikali haiwezi kumudu watu wote tz wanaopenda jeshi
Waajiriwa wengi wa keshi, ni vijana ambao hawaja anza maisha, ukisema eti waajiriwa wengi ni wale waliopoteza ramani ni uongo.
 
Na hapa tunaangalia zaidi Jeshini.

Niliwahi sikia stori mzanzibari si mwenzako mnapomaliza mafunzo JKT, wewe mtu wa bara uliezaliwa na kukulia hapa bara utaenda JKT na kujitolea hata miaka lakini mwisho wa siku utaambiwa umeiva sasa urudi kwenu kuendelea na shughuli zingine, Ila wazaznibari huwa wanabakizwa wanapigiwa pasi fasta kuingia JWTZ, polisi, usalama, magereza, zima moto, uhamiaji, n.k.

Pia na huko kwenye majeshi ni vipi, kuna upendeleo maalum wa wazanzibari kupendelewa katika vyeo vizito vizito?
Vigezo vya Mbara na Mzenji haviringani. Sifa inayoangaliwa kwa Mzanzibar ni awe amelege**ea vizuri.
Kitu ambacho kwao ni kama kunywa ulojo na kushushia juice ya miwa au kama vile kunywa supu ya ngozi ya ng'ombe na boflo
 
Anazungumzia upendeleo. Kwa nini visitumike vigezo wakati wa kuajiri?
Wazanzibari lazima wachukuliwe kwa wingi kwasababu hawapo wengi ukilinganisha na watu wa Tanganyika na pia jeshi ni la muungano.
 
Tutakuwa na jeshi la namna gani kama ajira zinatolewa kwa sababu tu watu fulani wako wachache bila kutilia maanani weledi?!
 
Mpaka umeona wanachukuliwa ujue wana uweledi hawajachukuliwa bure bure
 
Kwenye suala la power, elimu huwa ina influence ndogo.

Unaweza kuwa na degree yako lakini huko jeshini utatii amri, mkuu anaweza kuamua kumpandisha cheo hata yule alieishia form 4 huku yule wa degree kabaki na cheo cha kutii amri za huyo wa form 4.
Kwa vyeo vipi sasa? Kuanzia luteni, cheo ni kwa mujibu wa sheria na taratibu, sio boss au mkubwa!
 
Back
Top Bottom