sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kwenye suala la power, elimu huwa ina influence ndogo.hata wasaidiwe vipi, hawawezi kutushinda, kwasababu elimu kwao ni mzigo. elimu elimu elimu.
Watu husema Zanzibar ni kama kamkoa.Hawa jamaa wanadekezwa mno aisee !!
Kwa sasa jeshi limeanza kuwangoa mapema,, hii ni habari ya vijana 8 wa hapa bara kuchomolewa mapemaNdio inaajiri wazanzibari wale kina afande Rama.
wanaoliwa tako. 😳😮🥺🙌🙌🙌
Usiangalie wingi, angalia probability ya kupata kazi kwa kigezo tu kwamba una sifa flani.Unafahamu idadi ya wanzazibari na idadi ya mkoa wa dar pekee
Naomba uwe unaelewa maana kabla ya kujibu,, Post inazungumzia wanaokenda na kumaliza mafunzo jeshini, hao ndio wanaozungumziwa hapa.Wa zenji ni Wachache halafu kazi za jeshi hawazifagilii kama bongo bongo kazi ya jeshi ni kimbilio la wengi sana mtu akiona plan zake zimefika mwisho au mbele kiza wa nawaza hiyo kitu na serikali haiwezi kumudu watu wote tz wanaopenda jeshi
Nlipiga mujibu hapo kaka! Wazenji wale wa kujitolea walikua wengi sanaKuna kambi ya jkt mlandizi 832 wa zenji kama 40 waliomba kuacha kozi ya level 3 mwaka fulani hivi hahahahahhaaaaa unazani a mchezo M bongo a nawaza posho yake 80000 inayoongezeka
Mwaka gani mzeeNlipiga mujibu hapo kaka! Wazenji wale wa kujitolea walikua wengi sana