Kuna upendeleo maalum wa wazanzibari kupendelewa katika vyeo?

Mbona lipo wazi hilo mkuu since day one!?
 
hata wasaidiwe vipi, hawawezi kutushinda, kwasababu elimu kwao ni mzigo. elimu elimu elimu.
Kweli nilikuwa Zanzibari.miezi miwili iliyopita , CCM ikatangaza nafasi za kujiunga na jeshi la Magereza Tanzania kwa vijana waki Zanzibar, Vigezo vyao lazima uwe na kadi ya chama cha mapinduzi, Elimu kuanzia form two, lakini vijana wengi wao walikuwa wanakataa kwenda kwa kisingizio hawataweza kurudi Zanzibar tena kikazi, Mimi nikajiuliza Magereza siyo jeshi la Muungano na Zanzibar wana jeshi lao la Magereza mbona watanganyika haruhusiwi kuajiriwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…