A
Anonymous
Guest
Jeshi la Polisi hivi karibuni limeanzisha mkakati wa kuboresha utaratibu wa leseni za Udereva kwa kuwataka madereva ili kukidhi sifa za madaraja waliyonayo wapate kozi kuhuisha sifa zao katika daraja lake la leseni.
Kero iliyopo sasa hivi ni urasimu wa vyeti kuchukua muda mrefu kusomeka kwenye mfumo ili mlengwa apewe barua ya kuthibitishwa.
Najiuliza maswali bila majibu, je walianzisha jambo ambalo hawakuwa na utayali nalo?