Tanzania Mpya
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 252
- 145
Nilihitaji kuingia ktk website ya CRDB internet banking, cha kushangaza vinafunguka vitu vingine kabisa na wala huduma za kibenki sikuweza kuzipata. Kuna usalama kweli, au wataalamu wameshachakachua? Wasije wakanasa namba zetu za siri tukaibiwa jamani.
Mwenye kufahamu tatizo jamani, atusaidie kujua.
Mwenye kufahamu tatizo jamani, atusaidie kujua.