Kuna usalama CRDB BANK?

Kuna usalama CRDB BANK?

Tanzania Mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
252
Reaction score
145
Nilihitaji kuingia ktk website ya CRDB internet banking, cha kushangaza vinafunguka vitu vingine kabisa na wala huduma za kibenki sikuweza kuzipata. Kuna usalama kweli, au wataalamu wameshachakachua? Wasije wakanasa namba zetu za siri tukaibiwa jamani.

Mwenye kufahamu tatizo jamani, atusaidie kujua.
 
The only relatively safe banking in Tanzania is by way of using cheques!
 
Naamini kwamba website ambayo inabeba taarifa muhimu na mawasiliano kati ya benki na watu wa nnje na mfumo wa ndani wa kibenki unaobeba taarifa za wateja na pesa zao ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Ngoma imegoma sijui hawa jamaa wana matatizo gani, yani ni zaidi ya masaa 6 website haiko hewani. Credibility sufuri.
 
Mpaka sasa saa nane na dk 8 bado website haifunguki.
 
Nafikiri wenyewe bado hawajajua. Biashara za kiswahili bwana!
 
Back
Top Bottom