Kuna utafti naufanya kati ya waliochomwa chanjo ya covid katika suala zima la uaminifu katika ndoa na hasira nitareta mrejesho

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Kuna utafti naufanya kuhusu tabia za binadamu na mabadiliko ya hisia!
Nafanya utafti wa tabia kabla ya kuchoma sindano ya covid na baada ya kuchoma sindano!

Naangalia uaminifu katika Angel ya uaminifu katika ndoa ukoje baada ya kuchoma covid, umepungua au umeongezeka,

Tabia za kihisia (Moody) kwa wanandoa je makasiriko yapoje linapokuja swala la maudhi na ugomvi wanamalizaje ukilinganisha na mwanzo kabla ya kuchoma covid!

Utafti una mambo mengi sana lakini nataka kuanza na haya kisaikolojia!

Nilishafanya pia utafti kama huu kwenye chanjo ya uzazi wa mpango! Nitawaandalia majibu yake kwenye uzi mwingine!

Utafti huu nafasi ya majaribio ni kutoka kundi la
1. wanandoa
2. wapenzi na
3. viongozi wanavyohusiana na wengine (wananchi) wao!

Je, kuna ishara ya ukatili? Kiwango cha uvumilivu kikoje kabla ya covid na baada ya covid?

Yote haya nitayaweka kwenye majibu ya utafti ili itusaidie mbeleni!
 
Acha kupotosha umma mkuu kwani unapata faida gani laiti ungejua inavyopita na watu kimya kimya usingekuja kupotosha watu hapa
 
Mwandishi yupo kwenye utafti ..hakuna alichogundua kasema yupo kwenye utafti kuona kama faida na hasara!

Sijui kapotosha nn hapo
 
Mwandishi ukitaka madini mengine katika utafti wako pitia ripoti kutoka bodi ya madaktali kenya
 
Hivi wakuu, Corona imerudi tena mtaani?

Maana kuna upepo unavuma siuelewi..
 
Kuna utafti naufanya kuhusu tabia za binadamu na mabadiliko ya hisia!
Nafanya utafti wa tabia kabla ya kuchoma sindano ya covid na baada ya kuchoma sindano!

Naangalia uaminifu katika Angel ya uaminifu katika ndoa ukoje baada ya kuchoma covid, umepungua au umeongezeka,

Tabia za kihisia (Moody) kwa wanandoa je makasiriko yapoje linapokuja swala la maudhi na ugomvi wanamalizaje ukilinganisha na mwanzo kabla ya kuchoma covid!

Utafti una mambo mengi sana lakini nataka kuanza na haya kisaikolojia!

Nilishafanya pia utafti kama huu kwenye chanjo ya uzazi wa mpango! Nitawaandalia majibu yake kwenye uzi mwingine!

Utafti huu nafasi ya majaribio ni kutoka kundi la
1. wanandoa
2. wapenzi na
3. viongozi wanavyohusiana na wengine (wananchi) wao!

Je, kuna ishara ya ukatili? Kiwango cha uvumilivu kikoje kabla ya covid na baada ya covid?

Yote haya nitayaweka kwenye majibu ya utafti ili itusaidie mbeleni!
Nikupe majibu ya haraka kwa mazingira niliyopo mimi nakutana na watu wengi kila siku na wengi wamechoMA kwa kuwa ilikuwa kama lazima tofauti ni watu wa sasa haraka sana kukasirika na kitu kidogo tu anakuwa mkali kuliko mwanzo yani malalamiko yameongezeka sana uvumilivu umepungua sana kususa susa vitu vidogo tu usiombe,single maza wanaongezeka sana kwa kuwa watu wengi wana msongo wa mawazo.
 
Duh hatari sana
 
Back
Top Bottom