Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Mpe mawasiliano yangu bloanguKuna utapeli mpya bila shaka ni wanaigeria Kuna kitu linaitwa task mtu yupo tayari akutumia hata laki bure ila ukijaa lazima uliwe🤣🤣
Acha kuzua taharuki.Kuna utapeli mpya bila shaka ni wanaigeria Kuna kitu linaitwa task mtu yupo tayari akutumia hata laki bure ila ukijaa lazima uliwe🤣🤣
Wape namba yangu wanitapeli mkuuKuna utapeli mpya bila shaka ni wanaigeria Kuna kitu linaitwa task mtu yupo tayari akutumia hata laki bure ila ukijaa lazima uliwe🤣🤣
Jamaa ni kama wameamua kuuboresha utapeli ule tulikuwa tunafanya sisi watanzania mitaaniHehe nimewala vibuku 2 vyao nikasepa nilikula kama buku 10 hv step zinazofata nikaona mambo ya kujisajili binance baadae uweke hela ufanye kozi zao nkaona hapa oooh,, ila kuna watu wanawapata nimeona kwenye group lao kuna watu baada ya kupokea vile vi buku 2 vya mwanzo wamepumbazika wanaendelea na hizo process za binance,,,jamaa watakuja kuliwa kama deci
Mie naenda tu kwa sasa maana wanatuma vihela kidogo ili wakuvute,pesa nalamba nasepaJamaa ni kama wameamua kuuboresha utapeli ule tulikuwa tunafanya sisi watanzania mitaani
Jamaa wamejipanga sana na wanapiga pesa sana wapo Afrika nzima mtuMie naenda tu kwa sasa maana wanatuma vihela kidogo ili wakuvute,pesa nalamba nasepa
Huyu jamaa yangu aliambiaa uwekezaji unaanza na elfu 30 akaona Wacha apoteze tu baada ya muda akatumiwa pesa yenye faida baadae akawekeza pesa ili apate faida kubwa akawekeza akalipwa tena faida akaamua kujilipua ikawa ndio hivyo tena nitoleeHii utapigwa tu ukiwa na tamaa, sasa unaambiwa ukimtumia hela merchant kama ni 50000 unatumiwa 65,000 comission yako hapo ni 15,000 we uliona wapi hela za bure hivo.
Afu ikawajeKuna utapeli mpya bila shaka ni wanaigeria Kuna kitu linaitwa task mtu yupo tayari akutumia hata laki bure ila ukijaa lazima uliwe🤣🤣
Kuna jamaa yangu alikuwa anapitia kipindi kigumu maisha kupewa fursa ya task akahisi ni Mungu amemshushia neema kutumiwa pesa za bure kumbe wajuba wapo kazini nao haya maisha🤣🤣