Kuna utapeli mpya umeingia nchini wanaigeria kuweni makini

Kuna utapeli mpya umeingia nchini wanaigeria kuweni makini

Nipe connection nao nipige ata 20k
Nimelazimika kuandika hii mada sababu Leo hii asubuhi Mimi nimetumiwa link yakuwasiliana na mtu na kuungwa na group lao hilo wanaifanya wanaokula bata sababu ya ela za task nimeshatutumiwa 4000 naendelea na task ili nifunge elfu 10k nisepe

Kama unataka link nifuate inbox hapa hawaruhusu
 
Sasa hao si kama KALYNDA ?
Ni Bora kalyinda utaweza kuwakwepa Hawa jamaa wamejipanga sana wanakuingiza kwenye kundi lao wanakuonesha jinsi na watu wanavyonufaika na hiyo kazi wanapost screen short za mpesa za kushukuru malipo makubwa makubwa wanayoingiziwa baada ya kufanya uwekezaji unaweza kujihisi ushatoka kimaisha hii ishu inafanywa na genge la watu 20 ndio hao kwenye group wanajifanya .kushukuru malipo wanayoyapata
 
Hela ya bure lazima ukipewa ulipe na riba

Ogopa sana free lunch
Kuna graduate wapo mtaani huko wanapitia magumu mengi Mimi naamini graduate asiye na ajira akiwekwa mule kwenye group achomoi watu wanapost wanaonua magari,wapo wanapost wanafanya shopping supermarket,wapo watu wanapost vyakula wapo KFC
 
Kuna utapeli mpya bila shaka ni wanaigeria Kuna kitu linaitwa task mtu yupo tayari akutumia hata laki bure ila ukijaa lazima uliwe🤣🤣

Kuna jamaa yangu alikuwa anapitia kipindi kigumu maisha kupewa fursa ya task akahisi ni Mungu amemshushia neema kutumiwa pesa za bure kumbe wajuba wapo kazini nao haya maisha🤣🤣
mimi wameshanitumia sana tsk zao sijui uscreen shot picha unalipwa blah blah kibao nawapotezea tu..!
 
Kuna utapeli mpya bila shaka ni wanaigeria Kuna kitu linaitwa task mtu yupo tayari akutumia hata laki bure ila ukijaa lazima uliwe[emoji1787][emoji1787]

Kuna jamaa yangu alikuwa anapitia kipindi kigumu maisha kupewa fursa ya task akahisi ni Mungu amemshushia neema kutumiwa pesa za bure kumbe wajuba wapo kazini nao haya maisha[emoji1787][emoji1787]
Matapeli washamba wa Lagos walikutana na tapeli wa Misungwi Mwanza na wakakiona cha moto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom