The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Sasa hao si kama KALYNDA ?Hii utapigwa tu ukiwa na tamaa, sasa unaambiwa ukimtumia hela merchant kama ni 50000 unatumiwa 65,000 comission yako hapo ni 15,000 we uliona wapi hela za bure hivo.
Nimelazimika kuandika hii mada sababu Leo hii asubuhi Mimi nimetumiwa link yakuwasiliana na mtu na kuungwa na group lao hilo wanaifanya wanaokula bata sababu ya ela za task nimeshatutumiwa 4000 naendelea na task ili nifunge elfu 10k nisepeNipe connection nao nipige ata 20k
Ni Bora kalyinda utaweza kuwakwepa Hawa jamaa wamejipanga sana wanakuingiza kwenye kundi lao wanakuonesha jinsi na watu wanavyonufaika na hiyo kazi wanapost screen short za mpesa za kushukuru malipo makubwa makubwa wanayoingiziwa baada ya kufanya uwekezaji unaweza kujihisi ushatoka kimaisha hii ishu inafanywa na genge la watu 20 ndio hao kwenye group wanajifanya .kushukuru malipo wanayoyapataSasa hao si kama KALYNDA ?
Kwenye kupigwa hakuna Cha mjanja Wala mshamba waliopigwa na kalyinda asimia kubwa ni hao hao wana dar es salaam wanaoijua michezo yote ya utapeliWanapiga pesa za wajinga
Njoo inboxNipeni link yao niwapige hela
Linik Iko wapi sasa
Kuna graduate wapo mtaani huko wanapitia magumu mengi Mimi naamini graduate asiye na ajira akiwekwa mule kwenye group achomoi watu wanapost wanaonua magari,wapo wanapost wanafanya shopping supermarket,wapo watu wanapost vyakula wapo KFCHela ya bure lazima ukipewa ulipe na riba
Ogopa sana free lunch
mimi wameshanitumia sana tsk zao sijui uscreen shot picha unalipwa blah blah kibao nawapotezea tu..!Kuna utapeli mpya bila shaka ni wanaigeria Kuna kitu linaitwa task mtu yupo tayari akutumia hata laki bure ila ukijaa lazima uliwe🤣🤣
Kuna jamaa yangu alikuwa anapitia kipindi kigumu maisha kupewa fursa ya task akahisi ni Mungu amemshushia neema kutumiwa pesa za bure kumbe wajuba wapo kazini nao haya maisha🤣🤣
Sinza, Kijitonyama wamejaa Wanaigeria kazi zao hazijulikana! , Nchi yetu hii jau sana.Jamaa wamejipanga sana na wanapiga pesa sana wapo Afrika nzima mtu
Matapeli washamba wa Lagos walikutana na tapeli wa Misungwi Mwanza na wakakiona cha moto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna utapeli mpya bila shaka ni wanaigeria Kuna kitu linaitwa task mtu yupo tayari akutumia hata laki bure ila ukijaa lazima uliwe[emoji1787][emoji1787]
Kuna jamaa yangu alikuwa anapitia kipindi kigumu maisha kupewa fursa ya task akahisi ni Mungu amemshushia neema kutumiwa pesa za bure kumbe wajuba wapo kazini nao haya maisha[emoji1787][emoji1787]
Duh
Ndio ,kufungua hizo videos ,kulike na kusubscribe accounts za YouTube , a nonsensical taskile ya telegram unapewa kazi ya kufungua video za YouTube?
Pungza ukali wa manenoVijana mnaopenda sana pesa za haraka na mteremko
Acha mbali kutapeliwa mtakuja hata kufirwa hivihivi mnajiona