Kuna uwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya, ubalozi wa Marekani, ubalozi wa Canada, ubalozi wa Uingereza na ubalozi wa Sweden .

Hao mabalozi ndiyo wawakilishi wa nchi zinazofadhili ugaidi WOTE duniani hivyo wakuja kusikiliza kesi ya chombo chao Mbowe na wanajua atakula mvua tuu,,,Serikali hii ni dhaifu kuliko ya Somalia,, mabalozi kujitokeza wazi wazi kwenye kesi kama hii ni ujumbe tosha ila watanzania ni matumbo sana kwani hawaioni picha hapa halafu Kikwete anasema Samia anaongoza nchi vizuri KWELI??
 
mnahangaika na nini huyo ni gaidi wewe unamjuwa vizuri mbowe? yaani kwanza hata mwenyewe anawashangaa tu mnavyohangaika kumtetea maana anajuwa ugaidi wake mwacheni avune ale alichokuwa anakipanda mvua za kutosha zinamsubiri
siku baba ako anamtilia uji mzaaji wewe leba rum alikua na k vant kichwani sio bure

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
YAANI WOTE HAO WANAJITAHIDI KUJA KUMUOKOA GAIDI? WAMESHAJUWA KUNASHIDA SEHEMU NDIYO MAANA WANAKUJA WENGI KAMA KUSINGEKUWA NA KESI YA KUJIBU WAKILI MMOJA TU ANATOSHA AISEE MBOWE GAIDI
Kweli kabisa bwana shee
 
YAANI WOTE HAO WANAJITAHIDI KUJA KUMUOKOA GAIDI? WAMESHAJUWA KUNASHIDA SEHEMU NDIYO MAANA WANAKUJA WENGI KAMA KUSINGEKUWA NA KESI YA KUJIBU WAKILI MMOJA TU ANATOSHA AISEE MBOWE GAIDI
Kuna siku utajutia maneno na matendo yako maovu dhidi ya binadamu wengine. Hangaya anashindwa kuongoza nchi Kwa Amani kwasababu ya Watu wapuuzi kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…