Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Vipi ile mikopo waliyotupa wazungu,tumeagizia ndege tena?😝😝😝😝Chaggadema sasa hivi wakiona mzungu tu wanaona kama ni mungu vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi ile mikopo waliyotupa wazungu,tumeagizia ndege tena?😝😝😝😝Chaggadema sasa hivi wakiona mzungu tu wanaona kama ni mungu vile
Hao mabalozi ndiyo wawakilishi wa nchi zinazofadhili ugaidi WOTE duniani hivyo wakuja kusikiliza kesi ya chombo chao Mbowe na wanajua atakula mvua tuu,,,Serikali hii ni dhaifu kuliko ya Somalia,, mabalozi kujitokeza wazi wazi kwenye kesi kama hii ni ujumbe tosha ila watanzania ni matumbo sana kwani hawaioni picha hapa halafu Kikwete anasema Samia anaongoza nchi vizuri KWELI??
punguanimnahangaikia gaidi hamna kazi ya kufanya?
siku baba ako anamtilia uji mzaaji wewe leba rum alikua na k vant kichwani sio buremnahangaika na nini huyo ni gaidi wewe unamjuwa vizuri mbowe? yaani kwanza hata mwenyewe anawashangaa tu mnavyohangaika kumtetea maana anajuwa ugaidi wake mwacheni avune ale alichokuwa anakipanda mvua za kutosha zinamsubiri
Kwani Polepole anasemajeee??NI IMARA SANA TU MTAHANGAIKA MPAKA MCHOKE NA GAIDI WENU
Ndege alikuwa anaagiza Magu na hayupo. Ukihitaji nenda Chato ukatambikeVipi ile mikopo waliyotupa wazungu,tumeagizia ndege tena?😝😝😝😝
Juzi zililipwa billions kuongeza midege,umesahau?Au huwa unapanda Fikosh kwenda Ukerewe?😝😝😝😝Ndege alikuwa anaagiza Magu na hayupo. Ukihitaji nenda Chato ukatambike
Kwani wewe ukishakunywa mbege huwa unapanda nini ??Juzi zililipwa billions kuongeza midege,umesahau?Au huwa unapanda Fikosh kwenda Ukerewe?😝😝😝😝
Napanda punda au ngamia.😝😝😝😝Kwani wewe ukishakunywa mbege huwa unapanda nini ??
Kweli kabisa bwana sheeYAANI WOTE HAO WANAJITAHIDI KUJA KUMUOKOA GAIDI? WAMESHAJUWA KUNASHIDA SEHEMU NDIYO MAANA WANAKUJA WENGI KAMA KUSINGEKUWA NA KESI YA KUJIBU WAKILI MMOJA TU ANATOSHA AISEE MBOWE GAIDI
Itakupa heri gani katika nafsi yako Mbowe akifungwa hangaika na ufukara wa familia yako.UTAPATA SHIDA SANA MAWAKILI WOTE HAO WA NINI KAMA MBOWE SIYO GAIDI NA ANAKULA MIAKA YA KUTOSHA
hatutaki magaidi nchini isije ikawa kama somaliaItakupa heri gani katika nafsi yako Mbowe akifungwa hangaika na ufukara wa familia yako.
siyo gaidiBaba yako alivyomsaliti mama yako sio Gaidi?
kipaimara kwa gwajimaKUNANINI LEO KWANI MAHAKAMA GANI?
hahahaaa gaidi anaendelea kusoteshwa kazi anayo ndiyo akomekipaimara kwa gwajima
Gaid baba ako shambaYAANI WOTE HAO WANAJITAHIDI KUJA KUMUOKOA GAIDI? WAMESHAJUWA KUNASHIDA SEHEMU NDIYO MAANA WANAKUJA WENGI KAMA KUSINGEKUWA NA KESI YA KUJIBU WAKILI MMOJA TU ANATOSHA AISEE MBOWE GAIDI
Kuna siku utajutia maneno na matendo yako maovu dhidi ya binadamu wengine. Hangaya anashindwa kuongoza nchi Kwa Amani kwasababu ya Watu wapuuzi kama wewe.YAANI WOTE HAO WANAJITAHIDI KUJA KUMUOKOA GAIDI? WAMESHAJUWA KUNASHIDA SEHEMU NDIYO MAANA WANAKUJA WENGI KAMA KUSINGEKUWA NA KESI YA KUJIBU WAKILI MMOJA TU ANATOSHA AISEE MBOWE GAIDI