issenye
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 3,788
- 5,217
Wamedharau mkwara wa Mulamula?Kuna uwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya, ubalozi wa Marekani, ubalozi wa Canada, ubalozi wa Uingereza na ubalozi wa Sweden wapo nje na wao wanasubiri chumba cha mahakama kifunguliwe, ili waingie pamoja na watu wengine..
View attachment 1938346
View attachment 1938280