vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Katika pita pita zangu za kuangalia mechi za hivi karibuni kati ya Belouizdad alizocheza na mechi za Al Ahly alizocheza nikaja kustushwa na hali ya ratiba ya ligi ya Misri.
Al Ahly mara ya mwisho kucheza mechi ya mashindano ilikuwa ni mwaka jana mwezi wa 12 tena ilikuwa ni mechi super cup, tofauti na ilivyokuwa kwa Belouizdad ambao hadi sasa wameshacheza mechi sita za kimashindano.
Belouizdad watakipiga na Al Ahly tarehe 16 watakuwa na advantage kubwa ya match fitness, sioni Al Ahly wakishinda hii mechi labda wajitahidi wapate sare.
Ni mechi ambayo mashabiki wa Yanga wanaombea mno Al Ahly ashinde ili Belouizdad wasiongeze point ila kwa hali ilivyokaa naona ni ngumu kwa Al Ahly kuushinda huu mchezo. Ngoja tuone