Kuna uwezekanao mkubwa Al Ahly akafungwa siku ya Ijumaa kule Algeria

vibertz

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2022
Posts
2,474
Reaction score
4,726
Katika pita pita zangu za kuangalia mechi za hivi karibuni kati ya Belouizdad alizocheza na mechi za Al Ahly alizocheza nikaja kustushwa na hali ya ratiba ya ligi ya Misri.

Al Ahly mara ya mwisho kucheza mechi ya mashindano ilikuwa ni mwaka jana mwezi wa 12 tena ilikuwa ni mechi super cup, tofauti na ilivyokuwa kwa Belouizdad ambao hadi sasa wameshacheza mechi sita za kimashindano.

Belouizdad watakipiga na Al Ahly tarehe 16 watakuwa na advantage kubwa ya match fitness, sioni Al Ahly wakishinda hii mechi labda wajitahidi wapate sare.

Ni mechi ambayo mashabiki wa Yanga wanaombea mno Al Ahly ashinde ili Belouizdad wasiongeze point ila kwa hali ilivyokaa naona ni ngumu kwa Al Ahly kuushinda huu mchezo. Ngoja tuone
 
Katika pita pita zangu za kuangalia mechi za hivi karibuni kati ya Belouizdad alizocheza na mechi za Al Ahly alizocheza nikaja kustushwa na hali ya ratiba ya ligi ya Misri. Al Ahly mara ya mwisho kucheza mechi ya mashindano ilikuwa ni mwaka jana mwezi wa 12 tena ilikuwa ni mechi super cup, tofauti na ilivyokuwa kwa Belouizdad ambao hadi sasa wameshacheza mechi sita za kimashindano. Belouizdad watakipiga na Al Ahly tarehe 16 watakuwa na advantage kubwa ya match fitness, sioni Al Ahly wakishinda hii mechi labda wajitahidi wapate sare. Ni mechi ambayo mashabiki wa Yanga wanaombea mno Al Ahly ashinde ili Belouizdad wasiongeze point ila kwa hali ilivyokaa naona ni ngumu kwa Al Ahly kuushinda huu mchezo. Ngoja tuone
Al Ahly haijaacheza lakini wachezaji wake wamecheza AFCON
 
Ulitakiwa ujue kuwa Ahly Wana wachezaji wengi timu ya Taifa ya misri Tena walikua wakipata nafasi ya kucheza mojakwamoja.

Kwaiyo tathmini Yako umefanya ya upande mmoja labda kwakutokujua au kwakua ulisha chagua upande.
Mechi A Belouizdad na Ahly itakua Ngumu na yoyote anaweza kupoteza.
 
Sawa tutumie point yako ya kucheza michezo ya AFCON. Timu ya Misri ilitolewa mashindanoni tarehe 28. Mpaka sasa takribani wiki mbili hawakucheza mchezo wowote ule wa mashindano
 
Ao Ahly ni timu yenye wachezaji ambao wanashiriki mashindano mengi katika msimu mmoja.
Ushindani wa namba Ahly ni mkubwa mno kitu kinacho wafanya wachezaji automatically wawe fit mda wote. Wanahitaji mazoezi ya pamoja ya siku tatu waku kande kisawasawa.
Kwasasa unaweza usinielewe ila siku ya mechi utaelewa ninacho andika.
Kuna tofauti kubwa maisha ya mapumziko ya wachezji wetu na wa Ahly.
 
Katika pita pita zangu za kuangalia mechi za hivi karibuni kati ya Belouizdad alizocheza na mechi za Al Ahly alizocheza nikaja kustushwa na hali ya ratiba ya ligi ya Misri.

Al Ahly mara ya mwisho kucheza mechi ya mashindano ilikuwa ni mwaka jana mwezi wa 12 tena ilikuwa ni mechi super cup, tofauti na ilivyokuwa kwa Belouizdad ambao hadi sasa wameshacheza mechi sita za kimashindano.

Belouizdad watakipiga na Al Ahly tarehe 16 watakuwa na advantage kubwa ya match fitness, sioni Al Ahly wakishinda hii mechi labda wajitahidi wapate sare.

Ni mechi ambayo mashabiki wa Yanga wanaombea mno Al Ahly ashinde ili Belouizdad wasiongeze point ila kwa hali ilivyokaa naona ni ngumu kwa Al Ahly kuushinda huu mchezo. Ngoja tuone
Nafikiri iyo ni mechi ngumu kwa pande zote, Aly ahly awezi kukubali afungwe na Belouzdad wakati ajajua mechi yake na medeama kule Ghana itakuwaje na Ile ya yanga, kwa maana iyo anaitaji point mbele ya Belouzdad ili ajiweke vizuri kwenye msimamo, habari za match fitness sidhani Kama inaweza kuwaathiri kwa kiasi kikubwa kwakuwa wanajitambua wale!
 
Katika pita pita zangu za kuangalia mechi za hivi karibuni kati ya Belouizdad alizocheza na mechi za Al Ahly alizocheza nikaja kustushwa na hali ya ratiba ya ligi ya Misri.

Al Ahly mara ya mwisho kucheza mechi ya mashindano ilikuwa ni mwaka jana mwezi wa 12 tena ilikuwa ni mechi super cup, tofauti na ilivyokuwa kwa Belouizdad ambao hadi sasa wameshacheza mechi sita za kimashindano.

Belouizdad watakipiga na Al Ahly tarehe 16 watakuwa na advantage kubwa ya match fitness, sioni Al Ahly wakishinda hii mechi labda wajitahidi wapate sare.

Ni mechi ambayo mashabiki wa Yanga wanaombea mno Al Ahly ashinde ili Belouizdad wasiongeze point ila kwa hali ilivyokaa naona ni ngumu kwa Al Ahly kuushinda huu mchezo. Ngoja tuone
Ww ndiye unatamani iwe hivyo ila kwa Al Ahly ni tofauti.

Kule Al Ahly hamna mchezaji anaye pokea hela kwa mafungu kama kwenu, kule ni pure professional player,wanajitambua na kujua wajibu wao. Halafu ushindani wa namba ni mkubwa sio kama kwenu huku.

Wewe pambana na Galaxy walio kupigaga tatu moja hapa hapa taifa na ujikaze kwani hata yy nae nafasi anayo.
 
Katika pita pita zangu za kuangalia mechi za hivi karibuni kati ya Belouizdad alizocheza na mechi za Al Ahly alizocheza nikaja kustushwa na hali ya ratiba ya ligi ya Misri.

Al Ahly mara ya mwisho kucheza mechi ya mashindano ilikuwa ni mwaka jana mwezi wa 12 tena ilikuwa ni mechi super cup, tofauti na ilivyokuwa kwa Belouizdad ambao hadi sasa wameshacheza mechi sita za kimashindano.

Belouizdad watakipiga na Al Ahly tarehe 16 watakuwa na advantage kubwa ya match fitness, sioni Al Ahly wakishinda hii mechi labda wajitahidi wapate sare.

Ni mechi ambayo mashabiki wa Yanga wanaombea mno Al Ahly ashinde ili Belouizdad wasiongeze point ila kwa hali ilivyokaa naona ni ngumu kwa Al Ahly kuushinda huu mchezo. Ngoja tuone
Akili ni kusubiri mechi halafu useme.

Siyo kila kinachokujia kichwani unapost.
 
Al Ahly hata wangekuwa fit na mchezo kila baada ya siku 3 kwenye ligi yao bado hapo Algeria wangechezea tu, hilo wala halizuiliki
Yanga shindeni mechi zenu mkishinda mechi zenu mbili zilizobaki mnapita bila wasiwasi hamna haja ya kuombea wengne wafanyaje
 
Yanga kaingiaje wewe kijana wa Mangungu
 
Belouzdad hawezi kufungwa na ahly tena kwao,waarabu kila mtu huwa anashinda kwao.
 
Katika pita pita zangu za kuangalia mechi za hivi karibuni kati ya Belouizdad alizocheza na mechi za Al Ahly alizocheza nikaja kustushwa na hali ya ratiba ya ligi ya Misri.

Al Ahly mara ya mwisho kucheza mechi ya mashindano ilikuwa ni mwaka jana mwezi wa 12 tena ilikuwa ni mechi super cup, tofauti na ilivyokuwa kwa Belouizdad ambao hadi sasa wameshacheza mechi sita za kimashindano.

Belouizdad watakipiga na Al Ahly tarehe 16 watakuwa na advantage kubwa ya match fitness, sioni Al Ahly wakishinda hii mechi labda wajitahidi wapate sare.

Ni mechi ambayo mashabiki wa Yanga wanaombea mno Al Ahly ashinde ili Belouizdad wasiongeze point ila kwa hali ilivyokaa naona ni ngumu kwa Al Ahly kuushinda huu mchezo. Ngoja tuone
Acha kupiga ramli na kuombea wenzenu mabaya, tumeni Jini Mpili likaamue Mechi kama kawaida yenu na roho nyeusi tiiii kama kaniki.
 
Acha kupiga ramli na kuombea wenzenu mabaya, tumeni Jini Mpili likaamue Mechi kama kawaida yenu na roho nyeusi tiiii kama sanda.
Sanda nyeusi uliiona wapi wewe pimbi?
 
Belouzdad hawezi kufungwa na ahly tena kwao,waarabu kila mtu huwa anashinda kwao.
Alikudandanya nani? mbona Pyramid alikandwa na Mamelodi sundowns kwao? Wydad kapigwa na Juaneng kwao, USM Alger alikandwa na Yanga kwao
 
Back
Top Bottom