figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu,
Ni rahisi ngamia kupenya kwenye Tundu la Sindano kuliko Freeman Mbowe kufikishwa Kisutu leo.
Chadema Wapo Viunga vya Kisutu kusubiri japo wamuone Mwenyekiti wao. Wajiandae Kisaikolojia kutomuona. Ila kesi haijaahirishwa.
Tuendelee kufuatilia kwa karibu
=====
UPDATES;
=====
Mahakamani kuna wanachama wa Chadema wamekuja na Mabango. Getini Ulinzi Mkali na Wachache wameingia.