Kuna uwezekano Freeman Mbowe asifikishwe Mahakamani Kisutu leo. Kesi kuendeshwa kwa njia ya Video

Kuna uwezekano Freeman Mbowe asifikishwe Mahakamani Kisutu leo. Kesi kuendeshwa kwa njia ya Video

Kama kuna mtu anataka kukutoa ndani ya nyumba uliyoishi tangu unazaliwa, utawaza kutafuta hela au kupambana nae?
Kama nyumba amepangishwa na hulipi kodi atatatoka tu,tabia za kupikia kuni kwenye marumaru nani atavumilia
 
Wanachama hii jiandae kisakologia

Leo Mbowe hatoletwa mahakamani hii ni mbinu ya kudelay kupunguza mnkali wa wanachama leo hapa magereza wanaweza kuja na mbinu ya gari Lao bovu au halina mafuta au Mbowe kaugua ghafla(hapa refer kesi ya sembaya jana)


Na kama akileta kesi haitotajwa maana Hakimu anaweza kuugua ghafla Mbowe atapangiwa tarehe ya mbali kuja tena
Hali yake wanaokwenda kumwona ikoje?
 
Hiyo itapoza hiyo hali au itaongeza taharuki na kuvuta watu wengi zaidi?
 
Tz badala ya kuhangaika kukuza uchumi wetu vijana wapate ajira badala yake serikali ya CCM wamewekeza kwenye siasa za kipumbavu.Mambo ya maana hayafanyiki yanayofanyika ni ya kijinga na yanagalimu pesa nyingi
Kabisa mkuu, hilo kundi la polisi limejazwa hapo kulinda siasa za kipuuzi, limeshindwa kumkamata aliyejiunganishia bomba la mafuta hapa mjini. Matokeo yake aliyeitia nchi hasara kwa wizi wa mafuta kaachwa, na bado hela iliyopo inatumika kwenda kufanyia siasa za kijinga.
 
I have the same thinking! Let us wait and see. Isije kuwa wameshamuua! Kila kitu kinawezekana maana Sammy kapania
Nami nimeliona hilo Mkuu..upo uwezekano wa kumfikisha Mahakamani ni mdogo..wanaeza singizia hata gari limegoma kuwaka..au lina pancha hawa manyangau..
Watawala washenzi kabisa hawa.
 
Ni Vema wangeendelea na Plans zao Kama Kawaida Maana Kuchengachenga na Kudelay Inaongeza TENSION kwenye Jamii, na Kwa wanaintellegisia wetu, Maana Watalala na boot...Kwa Ofu ya Intelligence ya UVCCM.
 
Hii nchi tuna polisi wengi failures. Ndio hawa wanaotengeneza kesi bandia ambazo mwisho wa siku hawana uwezo wa kuzitetea mahakamani. Lissu angekuwepo nchini angewatesa sana hawa mashahidi feki wa Serikali
 
Back
Top Bottom