Kama nyumba amepangishwa na hulipi kodi atatatoka tu,tabia za kupikia kuni kwenye marumaru nani atavumiliaKama kuna mtu anataka kukutoa ndani ya nyumba uliyoishi tangu unazaliwa, utawaza kutafuta hela au kupambana nae?
Hali yake wanaokwenda kumwona ikoje?Wanachama hii jiandae kisakologia
Leo Mbowe hatoletwa mahakamani hii ni mbinu ya kudelay kupunguza mnkali wa wanachama leo hapa magereza wanaweza kuja na mbinu ya gari Lao bovu au halina mafuta au Mbowe kaugua ghafla(hapa refer kesi ya sembaya jana)
Na kama akileta kesi haitotajwa maana Hakimu anaweza kuugua ghafla Mbowe atapangiwa tarehe ya mbali kuja tena
Kabisa mkuu, hilo kundi la polisi limejazwa hapo kulinda siasa za kipuuzi, limeshindwa kumkamata aliyejiunganishia bomba la mafuta hapa mjini. Matokeo yake aliyeitia nchi hasara kwa wizi wa mafuta kaachwa, na bado hela iliyopo inatumika kwenda kufanyia siasa za kijinga.Tz badala ya kuhangaika kukuza uchumi wetu vijana wapate ajira badala yake serikali ya CCM wamewekeza kwenye siasa za kipumbavu.Mambo ya maana hayafanyiki yanayofanyika ni ya kijinga na yanagalimu pesa nyingi
Nami nimeliona hilo Mkuu..upo uwezekano wa kumfikisha Mahakamani ni mdogo..wanaeza singizia hata gari limegoma kuwaka..au lina pancha hawa manyangau..I have the same thinking! Let us wait and see. Isije kuwa wameshamuua! Kila kitu kinawezekana maana Sammy kapania
Nina majukumu mengine muhimu mkuu, isingekua hivyo ningejumuika.We umepita tu, kwa nini usijumuike kwenye hiyo nyomi, badala yake unawahi kwenye keyboard mkuu?
Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Hali yake ilikuwaje?Jana Zitto na Mbatia walimtembelea
Sijasikia habari ya ugonjwa zaidi ya kuwa Zitto alimpa zawadi ya kitabuHali yake ilikuwaje?
Hili pekee ndilo lililobaki; lakini aibu kwao haiepukiki.Watakuwa wanatafuta namna ya kumuachia bila kujiaibisha.