Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

Hili jambo linaitaji majibu na ufafanuzi wa kina.Kwasababu wahusika wengine wapo na document zipo.Haiwezekani sasa hivi tunakamuliwa kila mahali hadi tunawekeana tozo uku kuna mikopo kibao tuliyokopa alafu wananchi hatuna taarifa sahihi ya kilichofanyika.Lakini pia bunge inapaswa liwajibishwe,maana lilishindwa kusimamia kile ambacho walitumwa na wananchi.Haya mambo tusipokua makini kuyahoji kile alichosema ndugai japo kakikana iko siku kitatokea.Tatizo ni kwamba kuna wajinga watakuja hapa kujifanya wanalinda legacy bila kujua haya nikwa maslahi ya nchi nasio mtu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu sawa lakini ongeza takwimu tuone zahanati ngapi @ tshs ili tufikie hiyo 29 T. msibishane tu bali mjadiliane kwa hoja.
 
Magufuli anakaribia mwaka ssa ila bado watu wanateseka
Ngoja mwenye macho ya kurembua tuone je hali itakuaje?
Maaana hali ilivyo huku mtaaani wanatani hata angekuwepo leo ingekuwa afadhali tofauti na hali ilivyo ssa
Acha Uongo ww!
Hii hali ni matokeo ya utawala wa Mwendazake, na imekuwa afadhali kaondoka zake otherwise hali ingekuwa ni mbaya zaidi..
 
Hili swali lingekuwa zuri kama Marehemu Magu angekuwa hai lkn kwa sasa ni nosense.huwezi kumhukumu mtu ambae hayuko hai.mnaowajadili wafu mnakosea unless mnawajadili kwa mazuri yao lkn si kwa mabaya.kila nafsi itaonja umauti.
 
Jikite tu kwenye kudadavua 29t zilitumikaje au kama kuna chenji mtuambie.
Hizi habari za Samia anzisha tu uzi wake hapa kwanza mtujuze 29t
 
Watueleze hiz hela walizokop kwa kpnd cha miaka 5 trion 29 zimeenda wp aiseee tulipigwa sana
 
Hebu weka mchanganuo na mnyumbulisho wa mahesabu... taja gharama ya kila kimoja ili tujue bei halisi... sio jumla jumla ki hivi...
 
Ndugu yangu, maendeleo yote yanataka mipango sio tamaa. Usipende kukopa bila mipango eti kwa vile unataka maendeleo kushindana na mwingine, lazima ukope ukiangalia uwezo wa ukomo wako wa kukopa.
Imagine unatamani nyumba nzuri, gari la gharama, maisha ya juu na unakopa na kupewa kila uombacho kwa riba kubwa mno.
Mwisho unakabwa madeni na hukopesheki tena kisha familia kwa maisha magumu wanaugua nawe akiba huna na hukopesheki! Wanakufa.
Maendeleo bila mipango!
 
Acha Uongo ww!
Hii hali ni matokeo ya utawala wa Mwendazake, na imekuwa afadhali kaondoka zake otherwise hali ingekuwa ni mbaya zaidi..
Mtaaani ni tofauti usemavyo ww
We lazima useme hivyo si unakula na kulala kwa shemeji? Muulize shemeji yako atakuaambia hata dada yako pichu hajavaaa mpya kitambo
 
We jamaa upo serious kweli? Hela za kununua madiwan,wabunge na viongozi wa upinzani ultoa wewe? Hukumbuki mwanzoni CHAKUBANGA( pole pole) alivyokuwa kakondeana na kupauka? Hela za ziara za Makonda Ufaransa na Marekani uligaramia wewe? Operation za genge la Makonda na wasiojulikana uligaramia wewe?
 
Ndio mjione mlivyo wapumbavu,aliyekwambia mikopo ni kwa ajili ya kujengea reli tuu ni nani? Unadhani Nchi inaongozwa kwa ajili ya reli tuu?

Mikopo iko ya aina nyingi na inaweza kutumika hata kwa ajili ya kulipia madeni mengine nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…