Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

Hili jambo linaitaji majibu na ufafanuzi wa kina.Kwasababu wahusika wengine wapo na document zipo.Haiwezekani sasa hivi tunakamuliwa kila mahali hadi tunawekeana tozo uku kuna mikopo kibao tuliyokopa alafu wananchi hatuna taarifa sahihi ya kilichofanyika.Lakini pia bunge inapaswa liwajibishwe,maana lilishindwa kusimamia kile ambacho walitumwa na wananchi.Haya mambo tusipokua makini kuyahoji kile alichosema ndugai japo kakikana iko siku kitatokea.Tatizo ni kwamba kuna wajinga watakuja hapa kujifanya wanalinda legacy bila kujua haya nikwa maslahi ya nchi nasio mtu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tumia akili kidogo basi.

Hivi wewe huoni madaraja aliyoyajenga Magufuli? Stendi mpya mikoa karibu yote na wilaya zake huzioni? Ukianzia na ya mbezi Dar?

Huoni miladi ya maji kila kaya? Huoni maji yalovutwa kutoka ziwa Victoria kwenda Tabora Nzega ,Shinyanga,Singida maji kila kaya inabomba?

Mimi mwenyewe ni shahidi maji hayo yamepita kijijini kwetu na kwenye ardhi yetu na sisi tumevuta maji na umeme pia.

Ukuta wa Mererani hata huo huuoni?Sasa ulitaka hizo pesa zitumike huko mijini peke yake?

Zahanati na vituo vya afya kila kata na kijiji nazo pia huzioni? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Ungesema Kwa upande wa Watumishi hasa waalimu kwenye nyongeza za mishahara na madaraja aliyapa kisogo pamoja na Demokrasia ya kweli.Ni hayo tu .

Kwenye kuleta maendeleo Magufuli hana mpinzani kuanzia serikali ya pili hadi ya sasa hana wa kumlinganisha naye.

Magufuli alituheshimisha.
Dunia ilisimama.Dunia ilitambua uwepo wa Serikali ya Tanzania .
Mkuu sawa lakini ongeza takwimu tuone zahanati ngapi @ tshs ili tufikie hiyo 29 T. msibishane tu bali mjadiliane kwa hoja.
 
Magufuli anakaribia mwaka ssa ila bado watu wanateseka
Ngoja mwenye macho ya kurembua tuone je hali itakuaje?
Maaana hali ilivyo huku mtaaani wanatani hata angekuwepo leo ingekuwa afadhali tofauti na hali ilivyo ssa
Acha Uongo ww!
Hii hali ni matokeo ya utawala wa Mwendazake, na imekuwa afadhali kaondoka zake otherwise hali ingekuwa ni mbaya zaidi..
 
Kwa mujibu wa Takwimu zinazotolewa Sasa na makada, Mawaziri waliopita na watu tofauti Magufuli ndio Raisi aliyekopa fedha nyingi kuliko Raisi yoyote Tanzania ingawa kaongoza muda mfupi. Je fedha zake alifanyia Nini?
Takwimu hazidanganyi.
Inasemekana alikopa tilion 29.
Kwa fedha hizo zilitosha kujenga reli dar to kigoma pamoja na bwawa la Mwalimu nyerere, kununua ndege na chenchi zingebaki tukagawana.
Sababu reli ingegarimu tilion 16, bwawa la nyerere tilion 6. Ukarabati shule kongwe bilion 100.
Lakini mpaka Sasa miradi hiyo haijafika kokotee. Je fedha ziliilipigwa? Au zilienda wapi. Tupate uhalisia.

Mama juzi kachukua tilion Moja tu. Lakini kila mtanzania Anaweza kuona kwa macho pale alipo madarasa , shule mpya na zahanati na vituo vya Afya kila kona.

Hapa hatumsimangi Ila tuwe wakweli. Ukisema stendi ya Mbezi na ya dodoma. Takwimu hazidanganyi. Stendi ya mbezi imegharimu bilion 50 tu. Tilion 1 ingejenga stendi Kama hizo 20 tanZania nzima. Sasa t.. 29 alifanyia Nini? Soko la Dodoma na stendi gharama yake NI billion 35 tu. Yani Tillion 1 NI soko na stendi Kama ya dodoma 30. Na soko na stendi ya Mwanza mradi aliusitisha kabisa mama ndio kaanza nao. Jamani tilion sio mchezo 29 alipeleka wapi? Dalaja la wami NI b 66tu na kaliachs bado. Tilion NI bilion 1000. Faraja la busisi NI billion 600. Hilo ndio nusu tilion. Kifupi ukichukua madaraja. Yote, masoko na stendi alipojenga na kufikia bado haifiki tilion 1. Hizo 28 zilifanya Nini.
Kikwete miaka 10 tilion 20. Kaunganisha kilometa 10,000 za Rami ambazo gharama yake NI Tillion 9 hivi. Yani unaona.
Yeye hajajenga hata km 1000tu za Rami. Sasa hizo tilion 29 tulipigwa?

Mnakjibu mje na takwimu halisi sio ushabiki. Usiwe tulipewa mikopo ya kichina. Unachukua billion 100 unaandikiwa billion 10000.
Hili swali lingekuwa zuri kama Marehemu Magu angekuwa hai lkn kwa sasa ni nosense.huwezi kumhukumu mtu ambae hayuko hai.mnaowajadili wafu mnakosea unless mnawajadili kwa mazuri yao lkn si kwa mabaya.kila nafsi itaonja umauti.
 
Kulia lia na yaliyofanyika wakati wa Magufuli hakusaidii kitu, yeye alisema anafanya kurekebisha yaliyotendeka kabla yake.

Rekebisheni yaliyotendeka wakati wake pia, kama aliiba kama mnavyosema, si mmewashangalia kina CAG na mama, watumieni kuthibitisha madai yenu, dola ni yenu, pesa hizo zilizokwapuliwa, ni ngumu kiasi gani kurudishwa? Amezikwa nazo? Waliobaki ni untouchable? Dhamira ya kupiga kelele ni nini ilhali mamlaka yote mnayo?

Fanyeni kinachostahili na dhamira yenu ya dhati itajitanabaisha, sio mnakopea vibopa kwa gharama za wanyonge kisha kujificha kwenye jina la mtu mmoja.

Dunia inasema mama amekopa dola 2.29bn ndani ya miezi 8 tu NA amesha-WATOZO wadanganyika mara kadhaa kwa idadi isiyojulikana, amewaachia wahalifu vibopa wote, amesimamisha miradi na mingine kuiua, ajira za wa-znz ni 21% kwa bara na kwa wabara kwenda visiwani 0% n.k
Jikite tu kwenye kudadavua 29t zilitumikaje au kama kuna chenji mtuambie.
Hizi habari za Samia anzisha tu uzi wake hapa kwanza mtujuze 29t
 
Kwa mujibu wa Takwimu zinazotolewa Sasa na makada, Mawaziri waliopita na watu tofauti Magufuli ndio Raisi aliyekopa fedha nyingi kuliko Raisi yoyote Tanzania ingawa kaongoza muda mfupi. Je fedha zake alifanyia Nini?
Takwimu hazidanganyi.
Inasemekana alikopa tilion 29.
Kwa fedha hizo zilitosha kujenga reli dar to kigoma pamoja na bwawa la Mwalimu nyerere, kununua ndege na chenchi zingebaki tukagawana.
Sababu reli ingegarimu tilion 16, bwawa la nyerere tilion 6. Ukarabati shule kongwe bilion 100.
Lakini mpaka Sasa miradi hiyo haijafika kokotee. Je fedha ziliilipigwa? Au zilienda wapi. Tupate uhalisia.

Mama juzi kachukua tilion Moja tu. Lakini kila mtanzania Anaweza kuona kwa macho pale alipo madarasa , shule mpya na zahanati na vituo vya Afya kila kona.

Hapa hatumsimangi Ila tuwe wakweli. Ukisema stendi ya Mbezi na ya dodoma. Takwimu hazidanganyi. Stendi ya mbezi imegharimu bilion 50 tu. Tilion 1 ingejenga stendi Kama hizo 20 tanZania nzima. Sasa t.. 29 alifanyia Nini? Soko la Dodoma na stendi gharama yake NI billion 35 tu. Yani Tillion 1 NI soko na stendi Kama ya dodoma 30. Na soko na stendi ya Mwanza mradi aliusitisha kabisa mama ndio kaanza nao. Jamani tilion sio mchezo 29 alipeleka wapi? Dalaja la wami NI b 66tu na kaliachs bado. Tilion NI bilion 1000. Faraja la busisi NI billion 600. Hilo ndio nusu tilion. Kifupi ukichukua madaraja. Yote, masoko na stendi alipojenga na kufikia bado haifiki tilion 1. Hizo 28 zilifanya Nini.
Kikwete miaka 10 tilion 20. Kaunganisha kilometa 10,000 za Rami ambazo gharama yake NI Tillion 9 hivi. Yani unaona.
Yeye hajajenga hata km 1000tu za Rami. Sasa hizo tilion 29 tulipigwa?

Mnakjibu mje na takwimu halisi sio ushabiki. Usiwe tulipewa mikopo ya kichina. Unachukua billion 100 unaandikiwa billion 10000.
Watueleze hiz hela walizokop kwa kpnd cha miaka 5 trion 29 zimeenda wp aiseee tulipigwa sana
 
Tumia akili kidogo basi.

Hivi wewe huoni madaraja aliyoyajenga Magufuli? Stendi mpya mikoa karibu yote na wilaya zake huzioni? Ukianzia na ya mbezi Dar?

Huoni miladi ya maji kila kaya? Huoni maji yalovutwa kutoka ziwa Victoria kwenda Tabora Nzega ,Shinyanga,Singida maji kila kaya inabomba?

Mimi mwenyewe ni shahidi maji hayo yamepita kijijini kwetu na kwenye ardhi yetu na sisi tumevuta maji na umeme pia.

Ukuta wa Mererani hata huo huuoni?Sasa ulitaka hizo pesa zitumike huko mijini peke yake?

Zahanati na vituo vya afya kila kata na kijiji nazo pia huzioni? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Ungesema Kwa upande wa Watumishi hasa waalimu kwenye nyongeza za mishahara na madaraja aliyapa kisogo pamoja na Demokrasia ya kweli.Ni hayo tu .

Kwenye kuleta maendeleo Magufuli hana mpinzani kuanzia serikali ya pili hadi ya sasa hana wa kumlinganisha naye.

Magufuli alituheshimisha.
Dunia ilisimama.Dunia ilitambua uwepo wa Serikali ya Tanzania .
Hebu weka mchanganuo na mnyumbulisho wa mahesabu... taja gharama ya kila kimoja ili tujue bei halisi... sio jumla jumla ki hivi...
 
Tumia akili kidogo basi.

Hivi wewe huoni madaraja aliyoyajenga Magufuli? Stendi mpya mikoa karibu yote na wilaya zake huzioni? Ukianzia na ya mbezi Dar?

Huoni miladi ya maji kila kaya? Huoni maji yalovutwa kutoka ziwa Victoria kwenda Tabora Nzega ,Shinyanga,Singida maji kila kaya inabomba?

Mimi mwenyewe ni shahidi maji hayo yamepita kijijini kwetu na kwenye ardhi yetu na sisi tumevuta maji na umeme pia.

Ukuta wa Mererani hata huo huuoni?Sasa ulitaka hizo pesa zitumike huko mijini peke yake?

Zahanati na vituo vya afya kila kata na kijiji nazo pia huzioni? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Ungesema Kwa upande wa Watumishi hasa waalimu kwenye nyongeza za mishahara na madaraja aliyapa kisogo pamoja na Demokrasia ya kweli.Ni hayo tu .

Kwenye kuleta maendeleo Magufuli hana mpinzani kuanzia serikali ya pili hadi ya sasa hana wa kumlinganisha naye.

Magufuli alituheshimisha.
Dunia ilisimama.Dunia ilitambua uwepo wa Serikali ya Tanzania .
Ndugu yangu, maendeleo yote yanataka mipango sio tamaa. Usipende kukopa bila mipango eti kwa vile unataka maendeleo kushindana na mwingine, lazima ukope ukiangalia uwezo wa ukomo wako wa kukopa.
Imagine unatamani nyumba nzuri, gari la gharama, maisha ya juu na unakopa na kupewa kila uombacho kwa riba kubwa mno.
Mwisho unakabwa madeni na hukopesheki tena kisha familia kwa maisha magumu wanaugua nawe akiba huna na hukopesheki! Wanakufa.
Maendeleo bila mipango!
 
Acha Uongo ww!
Hii hali ni matokeo ya utawala wa Mwendazake, na imekuwa afadhali kaondoka zake otherwise hali ingekuwa ni mbaya zaidi..
Mtaaani ni tofauti usemavyo ww
We lazima useme hivyo si unakula na kulala kwa shemeji? Muulize shemeji yako atakuaambia hata dada yako pichu hajavaaa mpya kitambo
 
Kwa mujibu wa Takwimu zinazotolewa Sasa na makada, Mawaziri waliopita na watu tofauti Magufuli ndio Raisi aliyekopa fedha nyingi kuliko Rais yoyote Tanzania ingawa kaongoza muda mfupi. Je, fedha zake alifanyia Nini? Takwimu hazidanganyi.

Inasemekana alikopa trilion 29 kwa fedha hizo zilitosha kujenga reli Dar to Kigoma pamoja na bwawa la Mwalimu Nyerere, kununua ndege na chenchi zingebaki tukagawana.

Sababu reli ingegarimu tilion 16, bwawa la nyerere tilion 6. Ukarabati shule kongwe bilion 100 Lakini mpaka Sasa miradi hiyo haijafika kokotee. Je, fedha ziliilipigwa? Au zilienda wapi. Tupate uhalisia.

Mama juzi kachukua Trilion Moja tu. Lakini kila Mtanzania Anaweza kuona kwa macho pale alipo madarasa, shule mpya na zahanati na vituo vya Afya kila kona.

Hapa hatumsimangi Ila tuwe wakweli. Ukisema stendi ya Mbezi na ya dodoma. Takwimu hazidanganyi. Stendi ya mbezi imegharimu bilion 50 tu. Tilion 1 ingejenga stendi Kama hizo 20 tanZania nzima. Sasa t.. 29 alifanyia Nini? Soko la Dodoma na stendi gharama yake NI billion 35 tu. Yani Tillion 1 NI soko na stendi Kama ya dodoma 30.

Na soko na stendi ya Mwanza mradi aliusitisha kabisa mama ndio kaanza nao. Jamani tilion sio mchezo 29 alipeleka wapi? Dalaja la wami NI b 66tu na kaliachs bado. Tilion NI bilion 1000. Faraja la busisi NI billion 600. Hilo ndio nusu tilion. Kifupi ukichukua madaraja. Yote, masoko na stendi alipojenga na kufikia bado haifiki tilion 1. Hizo 28 zilifanya Nini.

Kikwete miaka 10 tilion 20. Kaunganisha kilometa 10,000 za Rami ambazo gharama yake NI Tillion 9 hivi. Yani unaona.
Yeye hajajenga hata km 1000tu za Rami. Sasa hizo tilion 29 tulipigwa?

Mnakjibu mje na takwimu halisi sio ushabiki. Usiwe tulipewa mikopo ya kichina. Unachukua billion 100 unaandikiwa billion 10000.
We jamaa upo serious kweli? Hela za kununua madiwan,wabunge na viongozi wa upinzani ultoa wewe? Hukumbuki mwanzoni CHAKUBANGA( pole pole) alivyokuwa kakondeana na kupauka? Hela za ziara za Makonda Ufaransa na Marekani uligaramia wewe? Operation za genge la Makonda na wasiojulikana uligaramia wewe?
 
Kwa mujibu wa Takwimu zinazotolewa Sasa na makada, Mawaziri waliopita na watu tofauti Magufuli ndio Raisi aliyekopa fedha nyingi kuliko Rais yoyote Tanzania ingawa kaongoza muda mfupi. Je, fedha zake alifanyia Nini? Takwimu hazidanganyi.

Inasemekana alikopa trilion 29 kwa fedha hizo zilitosha kujenga reli Dar to Kigoma pamoja na bwawa la Mwalimu Nyerere, kununua ndege na chenchi zingebaki tukagawana.

Sababu reli ingegarimu tilion 16, bwawa la nyerere tilion 6. Ukarabati shule kongwe bilion 100 Lakini mpaka Sasa miradi hiyo haijafika kokotee. Je, fedha ziliilipigwa? Au zilienda wapi. Tupate uhalisia.

Mama juzi kachukua Trilion Moja tu. Lakini kila Mtanzania Anaweza kuona kwa macho pale alipo madarasa, shule mpya na zahanati na vituo vya Afya kila kona.

Hapa hatumsimangi Ila tuwe wakweli. Ukisema stendi ya Mbezi na ya dodoma. Takwimu hazidanganyi. Stendi ya mbezi imegharimu bilion 50 tu. Tilion 1 ingejenga stendi Kama hizo 20 tanZania nzima. Sasa t.. 29 alifanyia Nini? Soko la Dodoma na stendi gharama yake NI billion 35 tu. Yani Tillion 1 NI soko na stendi Kama ya dodoma 30.

Na soko na stendi ya Mwanza mradi aliusitisha kabisa mama ndio kaanza nao. Jamani tilion sio mchezo 29 alipeleka wapi? Dalaja la wami NI b 66tu na kaliachs bado. Tilion NI bilion 1000. Faraja la busisi NI billion 600. Hilo ndio nusu tilion. Kifupi ukichukua madaraja. Yote, masoko na stendi alipojenga na kufikia bado haifiki tilion 1. Hizo 28 zilifanya Nini.

Kikwete miaka 10 tilion 20. Kaunganisha kilometa 10,000 za Rami ambazo gharama yake NI Tillion 9 hivi. Yani unaona.
Yeye hajajenga hata km 1000tu za Rami. Sasa hizo tilion 29 tulipigwa?

Mnakjibu mje na takwimu halisi sio ushabiki. Usiwe tulipewa mikopo ya kichina. Unachukua billion 100 unaandikiwa billion 10000.
Ndio mjione mlivyo wapumbavu,aliyekwambia mikopo ni kwa ajili ya kujengea reli tuu ni nani? Unadhani Nchi inaongozwa kwa ajili ya reli tuu?

Mikopo iko ya aina nyingi na inaweza kutumika hata kwa ajili ya kulipia madeni mengine nk.
 
Back
Top Bottom