gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Hili jambo linaitaji majibu na ufafanuzi wa kina.Kwasababu wahusika wengine wapo na document zipo.Haiwezekani sasa hivi tunakamuliwa kila mahali hadi tunawekeana tozo uku kuna mikopo kibao tuliyokopa alafu wananchi hatuna taarifa sahihi ya kilichofanyika.Lakini pia bunge inapaswa liwajibishwe,maana lilishindwa kusimamia kile ambacho walitumwa na wananchi.Haya mambo tusipokua makini kuyahoji kile alichosema ndugai japo kakikana iko siku kitatokea.Tatizo ni kwamba kuna wajinga watakuja hapa kujifanya wanalinda legacy bila kujua haya nikwa maslahi ya nchi nasio mtu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app