Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

Fedha ambazo walipa kod wametozwa zimefanyia nini ikiwa miradi midogo hivi inaendeshwa kwa fedha za mikopo?

Utakuwa ni mpumbavu endapo hujaelewa nini mleta mada amezungumza, sio mleta mada, tazama kelele za upinzani khs ununuzi wa ndege na hii miradi yote ambayo maguful alikuwa akiipigia kelele, achana na Lissu utamuita mwanasiasa, unamzungumzia vipi alokuwa CAG professor Asad? Hakuwa kuzungumza khs huu wizi wa awamu iliyopita?
 
Msamehe bure tu.
 
Mngechunguza hizi trillion za miezi sita ambazo bado ni moto kabla ya hizo za viporo vya hayati.
 
Thread za Magu za kumchafua zipo nyingi sana mmetumana!!?
ww ile miradi unadhani wamejenga kwa buttock zako!

Mkiishiwa hoja mnasema anachafuliwa. Sema ni miradi gani imekula 29t, kirahisi hivyo.
 
Jamaa alishika akili za watanganyika, eti tunajenga na kutumia fedha zetu wenyewe.
 
Magufuli anakaribia mwaka ssa ila bado watu wanateseka
Ngoja mwenye macho ya kurembua tuone je hali itakuaje?
Maaana hali ilivyo huku mtaaani wanatani hata angekuwepo leo ingekuwa afadhali tofauti na hali ilivyo ssa
Labda wewe mimi afadhali awamu hii kuliko ya Magu hali mbaya ya kiuchumi ipo karibu dunia nzima vitu vimepanda bei kweli

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
 
Hili swali lingekuwa zuri kama Marehemu Magu angekuwa hai lkn kwa sasa ni nosense.huwezi kumhukumu mtu ambae hayuko hai.mnaowajadili wafu mnakosea unless mnawajadili kwa mazuri yao lkn si kwa mabaya.kila nafsi itaonja umauti.

Alikuwa hataki kuhojiwa, na hapa tunahoji deni alilotuachia kama taifa. Hatuhoji yeye kuwa hai au mfu.
 
Mtoa mada kajaribu kutoa gharama za madaraja na baadhi ya miradi na kulinganisha na ukubwa bilioni na trillion, sasa wewe twambie idadi ya hayo madaraja yote uyajuayo tulinganishe na kiasi cha trillion 29 maana ni fedha nyingi lakini pia ukumbuke kujumlisha na fedha zetu za kodi, magawio, na zile za kupora wahujumu uchumi.
 
Hili swali lingekuwa zuri kama Marehemu Magu angekuwa hai lkn kwa sasa ni nosense.huwezi kumhukumu mtu ambae hayuko hai.mnaowajadili wafu mnakosea unless mnawajadili kwa mazuri yao lkn si kwa mabaya.kila nafsi itaonja umauti.
Anayekosewa ni mwenye utashi na uhai mfu hakosewi

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
 
Watasikia kweli?
 
Hili swali lingekuwa zuri kama Marehemu Magu angekuwa hai lkn kwa sasa ni nosense.huwezi kumhukumu mtu ambae hayuko hai.mnaowajadili wafu mnakosea unless mnawajadili kwa mazuri yao lkn si kwa mabaya.kila nafsi itaonja umauti.
Yaani wewe ndo tahira, bora hata ungekaa kimya.
 
Utawala wa jiwe ulikuwa na LAANA.
 
Aliyoyafanya kamwe hayawezi kumaliza Trilion 29 afu hata hivyo miradi kibao tu kaacha haijamalizika sasa pesa alipeleka wapi?

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
Sasa unataka kusema alipeleka wapi, we uoni? We mambo makubwa haya yote yalipofikia unafikiri yamewezekanaje? Sasa kama ni hivyo uhamini tusubiri kama CAG atakuwa na doubt!
 
Bahati Mbaya hizo za kikwete nazo umeonyesha bilion 9 tu kazi ya hizo zote.

Nakupa kazi za Magufuli.
1. Umeme vijiji elfu 9.
2. Ndege mpya 11.
3, Ukarabati shule zote kongwe, unazishaji wa shule mpya.. gharama yake ni zaidi ya hayo madarasa ya samia.
4. Ujenzi wa makazi ya polisi.
5. Flyover - Mfugale na Ubungo-Kijazi.
6. Barabara - Anza na Morogoro road kwa Dar njia nane.. Barabara ya Mbeya hadi Kigoma na Bukoba. Nenda Pale Arusha kwa mara ya kwanza wamejengewa barabara nzuri sana. Itigi -Tabora. Mbeya - Chunya, Songea - Mbambay.

7. Miradi ya maji ndo usiseme.. Nakutajia Miradi Mikubwa tu; Arusha,Mwanga na Same; Mwanza, Mwanza Tabora, Dodoma, Dar, Kisarawe. n.k.
8. Ujenzi na upanuzi wa viwanja vya ndege. KIA, Dar, Songwe, Songea, Chato,Mtwara, Katavi, Iringa, Njombe, Msoma,Mwanza n.k.
9. Kuhamia Dodoma. Makao makuu.
10. Ujenzi wa hostel zax vyuo mbalimbali kama UDSM na TIA (Mtwara Singida na Mwanza).

11. Ujenzi wa Bwawa la Umeme.

12. Ujenzi wa SGR.

13. Ujenzi wa Mwendo kasi ya Mbagala.

14. Ujenzi wa Masoko kila mkoa.

15. Upanuzi wa vituo vya kufulia umeme - Kinyerezi.

16. Ujenzi wa Stend za mabasi kila mkoa.

17. Ujenzi wa Hospital za Kila Kanda.. Kanda ya Kati Dodoma, Kusini - Mtwara. Kanda ya Ziwa Chato. Magaribi - Mbeya.
18. Ujenzi wa Hosipital ya Kila mkoa - Njombe; Msoma n.k.

19 . Ujenzi wa hospital za wilaya.

20. Ujenzi wa vituo vya afya - Kata

21. Ununuzi wa Meli kila ziwa - Victori, Nyasa na Tanganyika.

22. Ujenzi wa Madaraja makubwa -- Busisi na Coco.

24. n.k.


Naishia hapo..hizi kazi zote ndani ya miaka mitano ..Mwanamme alikuwa halali kwa ajiri yako na wajukuu zako.
 
Sasa unataka kusema alipeleka wapi, we uoni? We mambo makubwa haya yote yalipofikia unafikiri yamewezekanaje? Sasa kama ni hivyo uhamini tusubiri kama CAG atakuwa na doubt!
"Eti kama huamini tusubiri cag"
Kwani wewe uko nchi gani! Haukusikia hindi cag alivyo lalamika ktk ripoti yake kuzuiwa kukagua baadhi ya miradi, na zaidi hata mafungu mengine yakahamishiwa kwa nguvu ktk mafungu ya Rais na usalama wa nchi ilimradi tu yasikaguliwe. Amino jamaa yule alikuwa mpigaji.
 

Angali unapita wapi, unapitia, umetipia wapi, maisha yako yote. nani alikuwezesha, elimu yako, mtoto wako anasoma wapi, hospitali, miundombinu kuliwezesha Taifa wako .

Kitu, Vitu, Sera gani zitaisawaidia Maskini? Elimu, Miundombinu, kilimo mazingira, kuthibiti inflation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…