Kuna uwezekano kilichomtoa Gamondi pale Yanga ni kutoamini katika Uchawi na Majini, Inahuzunisha sana

Kuna uwezekano kilichomtoa Gamondi pale Yanga ni kutoamini katika Uchawi na Majini, Inahuzunisha sana

Error 404

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2022
Posts
2,151
Reaction score
3,493
Wazungu huamini sana katika uwezo wa wachezaji, lakini huku africa hasa Pale ambapo inasemekana wenye akili ni wachache sana wanaamini katika Uchawi.

Inasikitisha sana unafukuza kocha huku mbeleni una mechi za CAF.
 
Wazungu huamini sana katika uwezo wa wachezaji, lakini huku africa hasa Pale ambapo inasemekana wenye akili ni wachache sana wanaamini katika Uchawi.

Inasikitisha sana unafukuza kocha huku mbeleni una mechi za CAF
Hakuna shida michuano ipo mwaka mzima.....makocha huajiriwa na kufukuzwa sio ajabu....kama unampenda muajiri hata awe shamba boy wako hakuna shida
 
Yanga baada ya kufungwa na Tabora kuna kila aina ya simulizi
 
WAZEE WA GAMBOSHI WALIKUWA WANAMLAZIMISHA KOCHA AWANYWESHE WACHEZAJI DAMU YA BINADAMU.
 
Back
Top Bottom